HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za usiku wana jamii forums hope wote wazima wa afya !!kabla ya kupoteza wakati ningependa kukaribisha mitazamo(facts)mbalimbali au vitu vya ajabu katika ulimwengu huu ambavyo kwa namna moja au nyingine vimeshangazaa dunia ,ningeanza kwa kuandika facts mbalimbali hasa za kisayansi ambazo kwenye kusoma soma kwangu nmeweza kukutana nazo kwenye vitabu na sehemu mbalimbali mitandaoni;
1:Bara la Australia ndio bara pekeee duniani lisilokuwa na theluji hai (active volcano)
2:Kisiwa chenye watu wengi kuliko vyote duniani kiitwacho "Santa Cruz del islote"kina urefu wa viwanja viwili vya mpira.
3:Mwaka 1880 malkia wa thailand aitwaye sunadha alifariki huku walinzi wake wanamuangalia sababu ilikuwa hairuhusiwi kumshika malkia"forbidden to touch the Queen"
4:Kanisa liitwalo Yamoussoukro Basilica ndo kanisa kubwa la kikristo duniani(lipo vatican city)linauwezo wakuaccomodate waumini 20000.
5:Kwa italia namba 17 inajulikana kama namba isiyokuwa na bahati
6:Chyrpuss ni mwanaphilosophia ambayo alifariki kutokana na kucheka ,ambapo kichekesho(joke)alikitengeneza mwenyewe.
7:Kuku aliyetungiwa jina la "mike the headless chicken"aliweza kuishi zaid ya wiki mbili bila ya kuwa na kichwa .
8:Mwanajeshi mdogo kushiriki vita duniani alikuwa na umri wa miaka 8 tu.
9:Uwezo wa macho ya binadam kuona ni 576 megapixels
10😀araja refu kuliko yote dunian linaitwa Golden Gate bridge lenye urefu wa 1.6km linalounganisha Pacific ocean pamoja na San fransisco bay
11:Ukiamka (wake up)ubongo wa binadamu unauwezo wakuwasha balbu yenye 40watts kwa masaa 24
12:Mtoto mdogo ana mifupa 100 zaid ya mtu mzima (so wakiamua kutupiga hawashindwi[emoji28])
13:Sayari ya Venus pamoja na Uranus ndo sayari pekeee zinazosafiri kuelekea clockwise yaan kufata kama saa inavyoendaa hiii usababishwa na kugongwa na asteroids"vijimawe"vilivyoangani ,sayari nyingine zinaenda anticlockwise.
14:Wajapani hawana majina ya katikati "middle names"
15:Wanasayansi na scince yao yote ya baharini wameweza kuchunguza asilimia 5% ya bahari ,nahisi wakifika 30%tutakutana na nguva then tutaoana [emoji1787][emoji1787]
16:Jengo refu kuliko yote duniani linaitwa Burj khalif lipo Dubai lina urefu wa mita 829.8 "lile walilotembelea paula na kajala kabla Tembo hajawatia ndani [emoji1787][emoji1787]
17:je wajua namba 2520 ni namba ya kipekeee ambayo inagawanyika kwa namba zote kwanzia 1 mpaka 10.
18:Mapigo yako ya moyo yanaakuwa(affected) na nyimbo unazoziskiliza.
19:Upepo hauzalishi sauti bali mpaka ugongeee kitu
20:Bara la antarctica halina timezone (saa maalumu ) masaa 24 ya mchana uonekana kipindi cha joto "summer" na masaa 24 ya usiku kipindi cha winter ,siku nyingine mchana unaweza kuwa hata masaa 7 na usiku 17 au vice versa
wenye facts wengine mnakaribishwa ,marekebisho pia !!
MAESTRO DE QUIMICA !!OP
Watu wachunguza jamani hiyo namba inayogawanyika kwa 1 Hadi 10 imeniacha mdomo waziHabari za usiku wana jamii forums hope wote wazima wa afya! Kabla ya kupoteza wakati ningependa kukaribisha mitazamo (facts) mbalimbali au vitu vya ajabu katika ulimwengu huu ambavyo kwa namna moja au nyingine vimeshangazaa dunia, ningeanza kwa kuandika facts mbalimbali hasa za kisayansi ambazo kwenye kusoma soma kwangu nmeweza kukutana nazo kwenye vitabu na sehemu mbalimbali mitandaoni;
1: Bara la Australia ndio bara pekeee duniani lisilokuwa na theluji hai (active volcano)
2: Kisiwa chenye watu wengi kuliko vyote duniani kiitwacho "Santa Cruz del islote"kina urefu wa viwanja viwili vya mpira.
3: Mwaka 1880 malkia wa thailand aitwaye sunadha alifariki huku walinzi wake wanamuangalia sababu ilikuwa hairuhusiwi kumshika malkia"forbidden to touch the Queen"
4: Kanisa liitwalo Yamoussoukro Basilica ndo kanisa kubwa la kikristo duniani (lipo cote de Ivoiré) linauwezo wakuaccomodate waumini 20000.
5: Kwa italia namba 17 inajulikana kama namba isiyokuwa na bahati
6: Chyrpuss ni mwanaphilosophia ambayo alifariki kutokana na kucheka, ambapo kichekesho (joke) alikitengeneza mwenyewe.
7:Kuku aliyetungiwa jina la "mike the headless chicken"aliweza kuishi zaid ya wiki mbili bila ya kuwa na kichwa .
8: Mwanajeshi mdogo kushiriki vita duniani alikuwa na umri wa miaka 8 tu.
9: Uwezo wa macho ya binadam kuona ni 576 megapixels
10: Daraja refu kuliko yote dunian linaitwa Golden Gate bridge lenye urefu wa 1.6km linalounganisha Pacific ocean pamoja na San fransisco bay
11: Ukiamka (wake up)ubongo wa binadamu unauwezo wakuwasha balbu yenye 40watts kwa masaa 24
12: Mtoto mdogo ana mifupa 100 zaid ya mtu mzima (so wakiamua kutupiga hawashindwi[emoji28])
13: Sayari ya Venus pamoja na Uranus ndo sayari pekeee zinazosafiri kuelekea clockwise yaan kufata kama saa inavyoendaa hiii usababishwa na kugongwa na asteroids"vijimawe"vilivyoangani ,sayari nyingine zinaenda anticlockwise.
14: Wajapani hawana majina ya katikati "middle names"
15: Wanasayansi na scince yao yote ya baharini wameweza kuchunguza asilimia 5% ya bahari ,nahisi wakifika 30%tutakutana na nguva then tutaoana [emoji1787][emoji1787]
16: Jengo refu kuliko yote duniani linaitwa Burj khalif lipo Dubai lina urefu wa mita 829.8 "lile walilotembelea paula na kajala kabla Tembo hajawatia ndani [emoji1787][emoji1787]
17: Je wajua namba 2520 ni namba ya kipekeee ambayo inagawanyika kwa namba zote kwanzia 1 mpaka 10.
18: Mapigo yako ya moyo yanaakuwa(affected) na nyimbo unazoziskiliza.
19: Upepo hauzalishi sauti bali mpaka ugongeee kitu
20: Bara la antarctica halina timezone (saa maalumu ) masaa 24 ya mchana uonekana kipindi cha joto "summer" na masaa 24 ya usiku kipindi cha winter ,siku nyingine mchana unaweza kuwa hata masaa 7 na usiku 17 au vice versa
wenye facts wengine mnakaribishwa, marekebisho pia!!
MAESTRO DE QUIMICA !!OP
duu mimi some time mpaka shingo unauma hasa wanaweke wenye matko makubwa ata 20 kwa siku wanafika vimbao mbao sinaga time nao#UNAAMBIWA: Binadamu aina ya Mwanaume huwageukia Wanawake 10 kwa siku na kutamani muonekano wao, kwa wastani anatumia DK 43 kwa siku kuwakodolea macho Wanawake, hii ni sawa na kusema kwa wastani katika maisha ya Mwanaume anatumia mwaka mzima kuwageukia Wanawake tofauti.
Hii ni kwa mujibu wa Mark Ireland ambaye pia anasisitiza kuwa sio Wanaume pekee wanaomiza shingo zao kwani Wanawake huwageukia Wanaume 6 kwa kutumia dakika 20 kwa siku ambayo ni wastani wa miezi 6 ya maisha yake yote.
Kwa uzoefu wako kibongobongo Mwanaume anageuzia shingo Wanawake wangapi kwa siku? wastani wa muda gani kwa maisha yake yote ? 😀🤔
hee basi vinapigana mashine hivi viutumbili alafu vyote vifupi kama mapachaIndia unaiacha wapi ambayo inaipiku china muda si mrefu,
Yes ni issue realWatu wachunguza jamani hiyo namba inayogawanyika kwa 1 Hadi 10 imeniacha mdomo wazi
DuhJe wajua?
Baada ya mauaji ya J.F. Kennedy kule Dallas mnamo Novemba 22, 1963, Lyndon B. Johnson alikuwa Rais wa kwanza kuapishwa ndani ya ndege (Air Force One)!
View attachment 1803279
Tanganyika ilidandia hii EACB; Kabla ya 1920, hii EACB ilihusisha Kenya & Uganda protectorates tu.