Je, wajua? - Special Thread

Je wajua kipindi cha Apartheid South Africa; wachina walikuwa classified Km blacks na wajapani wazungu au honorary whites??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ imagine we ndo polisi unaanza kuamua nani mjapani na nani mchina na nani apendelewe kwa uzungu na nan aonewe au atengwe kuwa mweusi.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
hata wao huwa wanadai african tunafanana kabiisa[emoji16][emoji16].
 
Wachina, wajapan na wakorea wana chimbuko moja ndio maana wana fanana sana licha ya kuwa utofauti mdogo upo
 
Picha ya hayo maumbile
 
Mkipata muda msomeni Ratan Tata, tajiri anaetoa wingi wa mali yake kwa wenye uhitaji kuliko kujilimbikizia mali.
 
hata wao huwa wanadai african tunafanana kabiisa[emoji16][emoji16].
Hiyo ni kweli hili nimeshawahi ambiwa na boss wangu mmoja wa Australia mwaka 1997 hasa kwa sisi waafrica tulio weusi tiii.
Sasa wachina nao wanajua kujitofautisha wao kwa wao
 
#Jewajua : Nyota wa Manchester City Kevin De Bruyne kisheria angeweza kuichezea timu ya taifa ya Burundi iliyofuzu michuano ya Kombe la Mataifa ya Africa AFCON kwa mara ya kwanza mnamo mwaka 2019.

De Bruyne alizaliwa mjini Dronen, Ubelgiji japo mamake Anna ni mzaliwa wa Burundi, ikimaanisha kuwa kiungo huyo anaruhusiwa kisheria kuichezea timu ya taifa ya Burundi iwapo angetaka kufanya hivyo.

Source: DW Kiswahili
 
mmmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…