mgusi mukulu
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 715
- 681
Je Wajua
Julius Nyerere, Rais wa kwanza wa Tanzania, aliwahi kufichwa maeneo ya Kigamboni na Usalama wa Taifa wakati Jeshi lilipoasi mwaka 1964.
Eneo alilofichwa Nyerere huko Kigamboni mpaka leo limebaki kuwa ni siri.
Koma wewe
Eneo hili linajulikana lipo mjimwema chini baharini karibu na nyumba ya abdul jumbe watu wa huku wanapaita ikulu ndogo source ya picha subiri .
Je Wajua
Lucky Dube ndio msanii pekee wa Reggae ambaye alikuwa hatumii kilevi cha aina yoyote ile.
Je wajua club ya simba ndiyo club yenye mafanikio zaidi kwa mashindano ya kimataifa nchini tz?
Je wajua Capetown ndio mji pekee ulimwenguni ambao bahari ya Atlantic na bahari ya Hindi zinakutana kwa pamoja
Je wajua mtoto wa mnyama Kiboko anao uwezo wa kunyonya maziwa ya mama yake huku akiwa majini(ndani ya maji)ok........
Je wajua mtoto wa mnyama Kiboko anao uwezo wa kunyonya maziwa ya mama yake huku akiwa majini(ndani ya maji)
Je wajua Mamba hana ujanja wa kuchomoa ulimi wake kama vile tufanyavyo sisi binaadam mfano tukiwa tunanaramba kitu, au mfano kama anavyofanya Paka au Mbwa wanapokuwa wanajisafisha au wanapokuwa wameachia midomo yao waziaseee....
Je wajua mtoto wa mnyama Kiboko anao uwezo wa kunyonya maziwa ya mama yake huku akiwa majini(ndani ya maji)