mgusi mukulu
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 715
- 681
Je Wajua
Julius Nyerere, Rais wa kwanza wa Tanzania, aliwahi kufichwa maeneo ya Kigamboni na Usalama wa Taifa wakati Jeshi lilipoasi mwaka 1964.
Eneo alilofichwa Nyerere huko Kigamboni mpaka leo limebaki kuwa ni siri.
Eneo hili linajulikana lipo mjimwema chini baharini karibu na nyumba ya abdul jumbe watu wa huku wanapaita ikulu ndogo source ya picha subiri .