Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

Je Wajua

Julius Nyerere, Rais wa kwanza wa Tanzania, aliwahi kufichwa maeneo ya Kigamboni na Usalama wa Taifa wakati Jeshi lilipoasi mwaka 1964.

Eneo alilofichwa Nyerere huko Kigamboni mpaka leo limebaki kuwa ni siri.

Eneo hili linajulikana lipo mjimwema chini baharini karibu na nyumba ya abdul jumbe watu wa huku wanapaita ikulu ndogo source ya picha subiri .
 
Je wajua Siri ya urembo wa ngozi ya Malkia Cleopatra wa Misri ambaye anatajwa kuwa mwanamkr mzuri kuliko wote ilikuwa kujipaka maziwa ya punda yaliyochanganywa na asali ya nyuki wadogo usiku wakati wa kulala....
 
Je wajua? Cairo, Egypt ina watu million 17 yaani utafikiri wamefunga honi na breki pamoja kwa kelele
 
Je wajua club ya simba ndiyo club yenye mafanikio zaidi kwa mashindano ya kimataifa nchini tz?
 
Je wajua kwamba manahodha wengi wa meli Tanzania hawajui kuzielezea kwa kiingereza sheria za kimataifa za uendeshaji salama baharini (International regulatios for preventing collisions at sea)?
 
Je wajua Capetown ndio mji pekee ulimwenguni ambao bahari ya Atlantic na bahari ya Hindi zinakutana kwa pamoja
 
Je? wajua mtu anayeabudiwa lakini ni mbakaji kuwa ni mohamand.
 
aseee....
Je wajua Mamba hana ujanja wa kuchomoa ulimi wake kama vile tufanyavyo sisi binaadam mfano tukiwa tunanaramba kitu, au mfano kama anavyofanya Paka au Mbwa wanapokuwa wanajisafisha au wanapokuwa wameachia midomo yao wazi
 
Je wajua mtoto wa mnyama Kiboko anao uwezo wa kunyonya maziwa ya mama yake huku akiwa majini(ndani ya maji)

mmhh nyangumi hunyonyeshea watoto wake wapi mdau??
 
Back
Top Bottom