Je, wajua? - Special Thread

Je wajua Mamba hana ujanja wa kuchomoa ulimi wake kama vile tufanyavyo sisi binaadam mfano tukiwa tunanaramba kitu, au mfano kama anavyofanya Paka au Mbwa wanapokuwa wanajisafisha au wanapokuwa wameachia midomo yao wazi

asante....
 
Je wajua Tembo ni mnyama ambae mwenye uwezo wa kujiangalia kwenye kioo na kujitambua
 
Je wajua mnyama wa kuitwa Kangaroo hana ujanja wa kutembea kinyumenyume
 
Je wajua Arsenal ni club yenye uwanja mzuri zaidi na yenye kucheza mpira wa kuvutia zaidi ktk Epl
 
Je wajua meno ya mtoto yanaanza kujitengeneza miezi sita kabla ya mtoto kuzaliwa
 
Kwani wewe umeelewa vipi?

Mimi sikumtaja Nyangumi nimemtaja Kiboko

the way ulivosema kama vile ni mtoto wa kiboko tu ndie anaeweza kunyonya akiwa majini...lakini umesahau kuna watoto wa nyangumi,au kwa kiboko kuna upekee upi mdau?? ndo hapo naomba unieleweshe..wala sio ugomvi ndugu yangu...
 
je wajua mpaka kufkia juzi thread hii ilikuwa na page ishirini ?? cha ajabu mpaka sasa zipo page 17 ...so moderators wanapunguza pages au nini?? wajua hilo??

wamefanya vizuri kupunguza comments za kipuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…