HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
Kwani wewe umeelewa vipi?mmhh nyangumi hunyonyeshea watoto wake wapi mdau??
Mimi sikumtaja Nyangumi nimemtaja Kiboko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe umeelewa vipi?mmhh nyangumi hunyonyeshea watoto wake wapi mdau??
Je? wajua mtu anayeabudiwa lakini ni mbakaji kuwa ni mohamand.
Je wajua Mamba hana ujanja wa kuchomoa ulimi wake kama vile tufanyavyo sisi binaadam mfano tukiwa tunanaramba kitu, au mfano kama anavyofanya Paka au Mbwa wanapokuwa wanajisafisha au wanapokuwa wameachia midomo yao wazi
Je wajua mifupa ya pajani mwa binaadam ni imara zaidi ya zegeasante....
Je wajua mtoto wa mnyama Kiboko anao uwezo wa kunyonya maziwa ya mama yake huku akiwa majini(ndani ya maji)
Je wajua mifupa ya pajani mwa binaadam ni imara zaidi ya zege
Akhsante, sikuwa nafahamu KiongoziJe wajua
Malkia Elizabeth wa Uingereza, ndio mtu anayemiliki ardhi kubwa zaidi duniani.
Kwani wewe umeelewa vipi?
Mimi sikumtaja Nyangumi nimemtaja Kiboko
Je wajua somalia na somal land ni nchi mbili tofauti?
Je wajua meno ya mtoto yanaanza kujitengeneza miezi sita kabla ya mtoto kuzaliwa
Je wajua asilimia kubwa ya Watanzania ni watoto
je wajua mpaka kufkia juzi thread hii ilikuwa na page ishirini ?? cha ajabu mpaka sasa zipo page 17 ...so moderators wanapunguza pages au nini?? wajua hilo??