Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

Huenda una pointi au una wazo zuri unataka kutushirikisha' lakini uwasilishaji wako ndio kitendawili!! Ebu tulia alafu tudadavulie tukuelewe kiongozi.

mkuu kwanini iwe number saba na kumbuka sio co incidence afu ni by nature sio artificial
 
je wajua kuwa unajua au hujui kuwa unajua?
MUNGU NDIO MWANASAYANSI WA KWANZA HAPA ULIMWENGUNI,SHANGAA HILI,MOYO WA KIUMBE UNAFANYA KAZI YA MSUKUMO WA DAMU KULINGANA NA MAHITAJI YA MWILI.MFANO MTU ALIE LALA MAPIGO YA MOYO HUSHUKA KWA ASILIMIA HAMSINI YA UTENDAJI KAZI WAKE.
 
Je wajua vitu vifuatavyo haujavichagua katika maisha yako:-

1. Wazazi wako,
2. Jinsia yako,
3. Jina ulilopewa na wazizi wako,
4. Race yako (Yaani kua Mhindi, Mzungu, Mwarabu au Muafrika),
5. Bara, Nchi , Mji au Hospitali au Sehemu Uliozaliwa,
6. Siku ya Kufa.
7. Mtoto utakae Mzaa,
8. Umbile lako, yaani Urefu au Ufupi,
9. Umri utakao ishi Duniani na
10. Maadui zako.
 
Back
Top Bottom