Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je wajua kwamba uzito wa sisimizi wote waliopo duniani wakiwekwa pamoja ni sawa na uzito wa binadamu wote waliopo duniani?
Je wajua kwamba uzito wa sisimizi wote waliopo duniani wakiwekwa pamoja ni sawa na uzito wa binadamu wote waliopo duniani?
hahahahaaah,,,,,hii dogo siikubali, nipe reference...!!
je wajua ....?
India wanatumia mwezi mmoja kupiga kura....?
Wengi wape, uongo kiongozi? kwahiyo tumeshapitisha muswadaInawezekana .. ila ni kwa asilimia 60% . so tayari imevuka 50% kutosha kusema ni wengi wetu.
Je wajua aliyekuwa rais wa Marekani Franklin D.
Roosevelt ndiye aliyekuwa rais wa kwanza kutoa hotuba live kupitia luninga(kwa kizazi cha supra namaanisha TV)? Ilikuwa tarehe 30-4-1939.
Je wajua mvua ina vitamin B12 halafu ikinyesha sisi mbio
je wajua, inahitajika ufafanuzi hapa?