Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Je wajua asali inasafisha macho
Unachotakiwa kufanya nyunyiza tone moja la asali kwa kila jicho, fanya zoezi hili japo kwa wiki mara moja, au kwa mwezi mara moja ikishindikana japo kwa mwaka mara moja.
Ila ukubali vigezo na masharti ingawa siyo magumu ni hivi - inafukuta sana, lakini kwa muda mfupi tu
Kweli mkuu? Tusije tukapofuana