Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

Je wajua kipindi cha vita Rwanda miaka 20 iliyopita idadi ya watu waliopeteza maisha ndani ya miezi mitatu ilifikia watu laki nane
 
Je! wajua au unataka kujua leo? je wajua kuwa mwenyekiti wa bunge la katiba samwel sita ni mwanasheria kitaaluma lakini amekabidhi elimu yake yote kwa kamati kuu ya CCM na kuacha taaluma yake?

je wajua yeye ndo amewaambia makarani wa bunge waghushi sahihi ya Nyerere?
kama hujui ujue sasa,
 
Je wajua ndugu zetu wa kule nchini Cameroon tembo na nyani kwao wanaliwa(kitoweo)
 
Je wajua, meya wa jiji la dar es salaam na mbunge wa jimbo la Segerea ni mtu na binamu yake?
 
Je wajua mnamo mwaka 1976 gonjwa la EBOLA lilisikika kwa mara ya kwanza barani Afrika wahanga ikiwemo nchi mbili za afrika - SUDAN na DRC karibu na mto Ebola(uliopo DRC), ambapo ikawa chanzo cha gonjwa hilo kuitwa Ebola kutokana na jina la mto EBOLA

Gonjwa hilo lilifumuka kwa wakati mmoja/kwa mkupuo kwa nchi hizo mbili tajwa hapo juu
 
Je Wajua?
Katika Mwili Wa MwanaDam Mfupa Mdogo Kabisa Unapatikana Kwenye Sikio.
 
Je Wa Jua?
Mwanadam Anapo Amshwa Akiwa Amelala Usingizi,pindi Ilekitendo Cha Kustuka, Ubongo Wake Unazalisha Umeme Mkubwa Kiasi Cha Kuunguza Glop Ya Tochi Kama Ingeunganishwa Na Ubongo

Mhh...! napata tabu kweli kuamini.
 
Je wajua aliyekuwa rais wa Marekani Franklin D.
Roosevelt ndiye aliyekuwa rais wa kwanza kutoa hotuba live kupitia luninga(kwa kizazi cha supra namaanisha TV)? Ilikuwa tarehe 30-4-1939.
 
je wajua msuli imara zaidi katika mwili ni ulimi?


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Je wajua kwamba uzito wa sisimizi wote waliopo duniani wakiwekwa pamoja ni sawa na uzito wa binadamu wote waliopo duniani?
 
Back
Top Bottom