Huenda una pointi au una wazo zuri unataka kutushirikisha' lakini uwasilishaji wako ndio kitendawili!! Ebu tulia alafu tudadavulie tukuelewe kiongozi.
Je wajua Kisiwa cha Mafia kilichopo bahari ya Hindi chenye kata 7 na wakazi wapatao 60,000 hakuna hata shule moja ya kidato cha sita?
Je wajua neti ilyowekewa dawa ya ngao huweza kuwasha taa aina ya chubby light ukiigusisha na neti kila upande
je wajua sauti zina rangi mbali mbali hivyo kumwezesha mtu asiyekuwa na uwezo wa kusikia kuzitambua sauti hizo kwa kuangalia na ku analyse rangi zake?
Je wajuwa asilimia 85 ya ubongo wa binadamu ni maji? kama ulikuwa hujuwi sasa umejuwa.
Je wajua kuwa ni sayari
mbili tu (Venus na Uranus), huzunguka kinyume na sayari kubwa zingine
(clockwise rotation)?
Je wajua Rula ya Sentimita 30 ni ndefu kuliko Kindoo kidogo cha maji, kama huamini pima afu lete feedback hapa