Je wajua konokono wameumbwa wakiwa na jinsi mbili? Basi konokono atakayemuwahi mwenzake na kumpanda ndio atakaye beba mimba msimu huo. Imagine ingekuwa ni wanadamu tungeoa?
Je wajua ni asilimia 10 tu ya wanadamu dunia hutumia mkono wa kushoto (yaani lefties)?
je wajua kuwa bikira maria mama wa yesu ametajwa mara nyingi zaidi kwenye quran kuliko biblia?
Je wajua kuwa Chuck Norris akifanya pushup aridhi ndo inasogea chini sio yeye kunyanyuka
I see a meme inthusiast
Huwa nimo 9gag daily
9gag nlishapataga hadi demu(9chat),sema skuiz siingii sana koz kumejaa nerds,homo sympathisers kibao,jaribu pia Ufunny iko poa
Big up young blood keep it upJe wajua kuwa Mimi Ni mwanafunzi wa kidato cha NNE nimezindua website yenye vitabu vya sekondari ambayo huwasaidia wanafunzi wenzangu kusoma na website hii niliitengeneza mwenyewe wakati nikiwa kidato cha tatu. Website hiyo Ni www.elimuyetu.co.tz
Je wajua kuwa Mimi Ni mwanafunzi wa kidato cha NNE nimezindua website yenye vitabu vya sekondari ambayo huwasaidia wanafunzi wenzangu kusoma na website hii niliitengeneza mwenyewe wakati nikiwa kidato cha tatu. Website hiyo Ni www.elimuyetu.co.tz