Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

Je wajua ni asilimia 10 tu ya wanadamu dunia hutumia mkono wa kushoto (yaani lefties)?
 
Je wajua konokono wameumbwa wakiwa na jinsi mbili? Basi konokono atakayemuwahi mwenzake na kumpanda ndio atakaye beba mimba msimu huo. Imagine ingekuwa ni wanadamu tungeoa?
 
Je wajua ni asilimia 10 tu ya wanadamu dunia hutumia mkono wa kushoto (yaani lefties)?

Lakini pia je wajua asilimia kubwa ya wanadamu tulipaswa tuandikie mkono wa kushoto.Wengi tumejikuta tunaandikia mkono wa kulia kwa shinikizo la wazazi na walimu.Jaribu kumpa kalamu mtoto mdogo anayeanza kuandika uone ataishika kwa mkono upi.Pia maandishi mengi kwenye lugha nyingi uanzia kushoto kwenda kulia,hivyo mkono sahihi wa kuandikia hasa kwetu sisi ulipaswa uwe wa kushoto
 
  • Thanks
Reactions: itv
je wajua kuwa bikira maria mama wa yesu ametajwa mara nyingi zaidi kwenye quran kuliko biblia?

Na pia ametajwa zaidi kwenye Koran kuliko mwanamke yeyote yule zaidi hata ya mama yake mtume na hata wakeze.Pia kwenye Koran kuna sura inayoitwa Mariamu.Zaidi ya hilo Issa bin Mariam ametajwa mara nyingi zaidi kwenye Koran kuliko mtume Muhammad
 
Je wajua kuwa Chuck Norris akifanya pushup aridhi ndo inasogea chini sio yeye kunyanyuka
 
Je wajua mpaka leo kuna watu 550 Scotland wanaangalia TV za black and white
 
Je wajua mpaka leo kuna watu 550 Scotland wanaangalia TV za black and white
 
Je wajua Iceland ndio nchi ya kwanza kuruhusu ucholopoaji wa mimba
 
Back
Top Bottom