Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

Je wajua nyangumi huzaa na kunyonyesha si chini ya lita 500 kwa siku
Mkuu, Haya sasa ndo maneno, tufanyeje tuwapate hao nyangumi wanaonyonyesha? Ukiwa nao kumi tu unalisha maziwa bongo nzima! Au maziwa yao ni ya blue?!
 
Unajuwa ya kwamba pale kilipo kituo cha Polisi cha Sitakishali zamani paliitwa Natakashali??
 
Hapa sijaelewa
Amemaanisha ya kuwa, msenge sio lazima afirwe kuna baadhi ya wasenge huwa hawafirwi.

Nafikiri amechanganya kati ya Khanisi/Hanisi na msenge.

Khanisi ni yule ambae ana matatizo ya kimaumbile yaani Uume wake hausimami na msenge ni yule ambae anaingiliwa kinyume na maumbile
 
Je wajua Wangoni wana desturi ya kufunika bakuli la mboga kwenye sahani baada ya kumaliza chakula ikiwa ni ishara ya kuonesha kuwa wameshiba na wanaashiria Ahsante kwa chakula
 
je wajua JF ndo mtandao unaotembelewa sana kuliko yote TANZANIA
 
Amemaanisha ya kuwa, msenge sio lazima afirwe kuna baadhi ya wasenge huwa hawafirwi.

Nafikiri amechanganya kati ya Khanisi/Hanisi na msenge.

Khanisi ni yule ambae ana matatizo ya kimaumbile yaani Uume wake hausimami na msenge ni yule ambae anaingiliwa kinyume na maumbile
Kwa hiyo hata mwanamke anayeingiliwa kinyume na maumbile naye anaitwa msenge?
 
Je wajua Donald Trump aliuza nyago kwenye Home alone 2
 
Je wajua Ibrahima Bakayoko ndie muIvory coast wa kwanza kuweza kufungua nyavu/kufunga goli kwenye ligi kuu ya mpira wa miguu Uingereza
 
Je wajua huu uzi unatakiwa uwe sticky!!
Usigandishwe.

Hivihivi ndio freshi.

Huu uzi unatembea.

Huoni kuna post za kimiyayusho zimeshafutwa na sasa tumerudi nyuma tupo ukurasa wa 39 wakati tulikuwa ukurasa wa 59.

Na hii si mara ya kwanza kufutwa kwa baadhi ya post, ni mara ya pili hii.

Kama kusingefutwa kwa baadhi ya post, huu uzi mpaka tunavyoongea hivi sasa ungeshafika kwenye ukurasa wa mia moja na kitu hivi
 
je wajua ukicomment thread yoyote ya zamani humu jf Itapanda juu yenyewe na kila mtu asiyeiona ataiona?
 
Back
Top Bottom