Ajira za mawasiliano hazijaletwa na CCM na serikali yake, ni mabadiliko ya technolojia dunia. sawa tu na ujio wa Digitali baada ya analojia. Hivo siyo serikali ya CCM aloleta ving'amzi la hasha.
Kwahiyo Rwakatare ndio alio ruhusu biashara ya bodaboda?For records CCM walikataa bodaboda tangu miaka ya 1990. Mswaada wa kwanza kutetea bodaboda uliletwa na Mbunge wa Bukoba Mini(CUF) W.Rwakatare(Gaidi feki), CCM waliukataa. Biashara ya Bodaboda imeinzia Bukoba ikitokea Uganda(1990s). CCM walitumia polis I kuwapiga na kuwaumiza bodaboda huko bukoba.CCM baada ya kuona na kuelewa kuwa hii ni ajira wakadandia hoja ya Rwaks.
Wengi hujiuliza hivi serikali hutengenezaje ajira mfano ikisema inataka kutengeneza ajira milioni tatu inatengenezaje?
1.Ni kwa yenyewe kuajiri.Ukiangalia mfano sasa hivi vijana polisi na wanajeshi walioajiriwa kwenye majeshi yote ni wengi mno.Ukienda ofisi za serikali nyingi unakutana na vijana wengi watu wazima ni wa kuhesabu iwe walimu,madaktari nk Serikali imeamua kuwaajiri.
2.Kwa kuleta wawekezaji wakubwa.Mfano Alivyoingia vodacom ajira kwa watu wengi mno
Zilizaliwa kama
- Wafanyakazi wa vodacom
3.Kuweka sera ya biashara mpya: Mfano Serikali waliporuhusu biashara ya boda boda ona ajira nyingi zilivyozaliwa
- wauza vocha na Maagenti wa Mpesa angalia waliosambaa nchi nzima walivyo wengi
- Maduka kibao ya wauza simu za mkononi
- Ajira kibao za Mafundi simu
4.Kutengeneza miundo mbinu kama ya Barabara nk
- Ajira kibao za maduka ya wauza piki piki
- ajira kibao za madereva wa pikpiki
- ajira kibao za maduka ya spea za pikipiki
- ajira kibao za mafundi pikpiki
- ajira kibao za waosha pikipiki
Barabara hufungua ajira kibao.Ajira zizaliwazo upya
Haya ni baadhi tu ya mambo ambayo serikali hutumia kuongeza ajira katika nchi.
- Ajira za watengeneza barabara
- Huvutia ajira za usafirishaji ambako watu kibao huajiriwa kuendesha magari ya kupitia hizo barabara mfano madereva wa mabasi, malori
- Viwanda,maHoteli,maduka,masoko mengi hufunguliwa pembeni mwa barabara ambayo hutoa ajira kwa watu wengi mno
Hii ni kuwasaidia wale ambao wakisikia serikali itaongeza ajira huwa wanabeza tu kwa kuwa hawana upeo wa mambo zaidi ya ule wa siasa za majukwaani za kumnadi mgombea.
Je wajua kwamba chembechembe nyekundu za damu (erythrocytes) ambazo hutumika kusafirishia hewa safi mwilini (oxygen) ambayo inahitajika na kila chembe hai mwilini,zenyewe hazihitaji hiyo oxygen ili kuendelea kuishi..!!!Habari zenu wadau.
Wote tunaamini kua kuna mambo mengi sana ya kisiasa, elimu, sayansi, geografia, na maarifa mengine mengi tu ambapo kwa namna moja au nyingine mtu unakua hujapata fursa ya kuyashuhudia au kuyasikia kwa muda muafaka. Hii inaweza kua kipindi kilichopita au hata kwa wakati huu ulipo.
Basi kupitia Thread hii ni vyema wadau tukafahamishana haya kwa lengo moja la kuelimishana.
Hivyo niwakaribishe wote wenye nia njema kuwekea wayajuayo, kwani ukijuacho wewe naweza nisikijue na akijuacho mwenzanko unaweza usikijue.
Karibuni.
je wajua?????kuwa binadamu ana mifupa 206 kwenye mwili wake?Je mwajuwa sehemu ya nje ya Jino ndo sehemu ngumu zaid kuliko zote katka mwili binadamu?
Na kwamba kila jino lina movement,yaani lina cheza mbele-nyuma,kulia-kushoto na juu - chini.
bendera ya Tanzania ina rangi ngapi?mbona mpangilio wako hauko sahihi?Je wajua bendera ya tanzania kirangi inatakiwa ipangwe kuanzia juu kuja chini kama ifuatavyo -
1.KIJANI
2.NJANO
3.NYEUSI
4.BULUU