Je, wajua? - Special Thread

Je wajua kuwa yule Simba maarufu anatokea akinguruma kwenye movie ambazo kampun ya filamu ya MGM imetengeneza alirekodiwa kama scene ya movie

picha ya chin inaonyesha wafanyaka wa MGM wakimrekod na kumpiga picha simba huyo kutengeneza kibwagizo hicho.. jamaa walikuwa wana moyo sana
 
 
M
Mambo ya 'Millions ways to die in the west' hayo.
 
H
Hapana, hii ina maanisha mama wa huyu mtoto alipo kwa sasa.
 
Hivi huyu Simba ni Simba wa Madagascar au?
 
hahhahaa

hawa jamaa wanaroho ngumu sana yaan umbal wa mita moja unamoekotite simba
 
Je wajua South Africa ni nchi pekee Barani Afrika ambayo imeandaa michuano ya Kombe la Dunia la Mpira wa miguu, Cricket na Rugby
 
Je wajua maji ya Madafu yanasaidia sana kuzuia kutapika
 
Je wajua Klabu ya mpira wa miguu Manchester City ndio mara yao ya kwanza kuweza kufika hatua ya robo fainali katika michuano ya Klabu bingwa Ulaya.

Klabu hiyo ya Manchester City imefanikiwa kuvuka hatua hiyo na kuingia robo fainali baada ya kuwachapa wapinzani wao Dynamo Kiev ya Ukraine, kwa ushindi wa magoli matatu kwa moja (3-1), amabao ushindi wa magoli hayo waliupata walipoenda kucheza ugenini nchini Ukraine, na jana waliporudiana, uwanja wa nyumbani wa Manchester City (Etihad) walimaliza suluhu ya bila magoli (0-0).

Ambayo suluhu hiyo ya bila magoli imewapa ushindi wa magoli 3-1 kwa ujumla (ugenini na nyumbani), suluhu yoyote ingekuwa ya magoli, au ya bila magoli ni tiketi tosha kuipeleka Manchester City hatua ya robo fainali.

Tunawapongeza sana Manchester City kwa hatua hiyo kubwa kuweza kuingia robo fainali ya Klabu bingwa Ulaya, kwani ni mara yao ya kwanza katika historia ya Klabu hiyo
 
Je wajua White House ina idadi ya vyumba Mia moja thelathini na mbili (132)
 
Je wajua kwamba tair la bajaji ni lefu kuliko ndoo ya maji?
 
Je wajua kuwa sinza ndio sehemu inayoongoza kwa wanawake kuvaa vikuku Tz?
 
Je wajua kua namba ya pages JF zinategemea umeset ionyeshe post ngapi kwa page?mimi niko page ya 24 sababu nimeweka kila page post 50.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…