Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

Je wajua kuwa yule Simba maarufu anatokea akinguruma kwenye movie ambazo kampun ya filamu ya MGM imetengeneza alirekodiwa kama scene ya movie

picha ya chin inaonyesha wafanyaka wa MGM wakimrekod na kumpiga picha simba huyo kutengeneza kibwagizo hicho.. jamaa walikuwa wana moyo sana
ImageUploadedByJamiiForums1456765958.166808.jpg
 
Jaman nimegundua dunian kuna facts and Myth nyingi ambazo zilitokea ama
kusemekana kutokea dunian ambazo mtu akizijua zinaweza kumjenga kwa namna moja ama nyingine kama sio kumburudisha...

naomna kupitia uzi huu we tupia fact ama myth au fiction ambayo unaijua iwe kwenye maswala ya afya. siasa. uchumi. mapenz. na mengineyo

shart ni kuwa ukiweka tukio ama habar yoyote iwekew na tag kama ni fact, fiction ama myth.

mi naanza ma hz hapa chini

Je wajua kuwa katika miaka ile ya 1800 wakat marekan ikiwa kwenye the great depression kulikuwa
na ukata ambao haukuwah kutokea kias kuwa kuna familia
zilidiriki kuwapiga bei watoto wao walau
apate pesa ya kula kama huyo
mama alieweka
bango la kuuza watoto wake akitoa pia na mbwa kama nyongeza
View attachment 326550

hii ni fact watu waliweza kukaa hata zaid ya mwez bila kushika note ya dola moja yaan mtu anachezea kwenye coins za sumni
ImageUploadedByJamiiForums1456766112.277924.jpg
 
M

Mambo ya 'Millions ways to die in the west' hayo.
 
H
kwa kweli hili sikulijua.

kwani mkubwa anataka kuanzisha timu, au mikakati ya kupata mameneja wa viwanda vinavyoanzisha B/moyo akitoka madarakani, bila kusahau wabunge kwenye serikali ya 3.
Na huyu wa mwisho ilikuwaje azaliwe ikulu, viongozi bwana! Inamaana Mh: Mkapa alikuwa anampa room Mh: Kikwete.
Hapana, hii ina maanisha mama wa huyu mtoto alipo kwa sasa.
 
Je wajua kuwa yule Simba maarufu anatokea akinguruma kwenye movie ambazo kampun ya filamu ya MGM imetengeneza alirekodiwa kama scene ya movie

picha ya chin inaonyesha wafanyaka wa MGM wakimrekod na kumpiga picha simba huyo kutengeneza kibwagizo hicho.. jamaa walikuwa wana moyo sana View attachment 326553
Hivi huyu Simba ni Simba wa Madagascar au?
 
hahhahaa

hawa jamaa wanaroho ngumu sana yaan umbal wa mita moja unamoekotite simba
 
Je wajua South Africa ni nchi pekee Barani Afrika ambayo imeandaa michuano ya Kombe la Dunia la Mpira wa miguu, Cricket na Rugby
 
Je wajua maji ya Madafu yanasaidia sana kuzuia kutapika
 
Je wajua Klabu ya mpira wa miguu Manchester City ndio mara yao ya kwanza kuweza kufika hatua ya robo fainali katika michuano ya Klabu bingwa Ulaya.

Klabu hiyo ya Manchester City imefanikiwa kuvuka hatua hiyo na kuingia robo fainali baada ya kuwachapa wapinzani wao Dynamo Kiev ya Ukraine, kwa ushindi wa magoli matatu kwa moja (3-1), amabao ushindi wa magoli hayo waliupata walipoenda kucheza ugenini nchini Ukraine, na jana waliporudiana, uwanja wa nyumbani wa Manchester City (Etihad) walimaliza suluhu ya bila magoli (0-0).

Ambayo suluhu hiyo ya bila magoli imewapa ushindi wa magoli 3-1 kwa ujumla (ugenini na nyumbani), suluhu yoyote ingekuwa ya magoli, au ya bila magoli ni tiketi tosha kuipeleka Manchester City hatua ya robo fainali.

Tunawapongeza sana Manchester City kwa hatua hiyo kubwa kuweza kuingia robo fainali ya Klabu bingwa Ulaya, kwani ni mara yao ya kwanza katika historia ya Klabu hiyo
 
Je wajua White House ina idadi ya vyumba Mia moja thelathini na mbili (132)
 
Je wajua kwamba tair la bajaji ni lefu kuliko ndoo ya maji?
 
Je wajua kuwa sinza ndio sehemu inayoongoza kwa wanawake kuvaa vikuku Tz?
 
Usigandishwe.

Hivihivi ndio freshi.

Huu uzi unatembea.

Huoni kuna post za kimiyayusho zimeshafutwa na sasa tumerudi nyuma tupo ukurasa wa 39 wakati tulikuwa ukurasa wa 59.

Na hii si mara ya kwanza kufutwa kwa baadhi ya post, ni mara ya pili hii.

Kama kusingefutwa kwa baadhi ya post, huu uzi mpaka tunavyoongea hivi sasa ungeshafika kwenye ukurasa wa mia moja na kitu hivi
Je wajua kua namba ya pages JF zinategemea umeset ionyeshe post ngapi kwa page?mimi niko page ya 24 sababu nimeweka kila page post 50.
 
Back
Top Bottom