Je, wajua? - Special Thread

You know you can fool some people for some time but not all the people for all time
Acha uvivu wa kufikiri basi mkuu, inamaana pia bado haujui thread inazungumzia mbu wa jinsia gani? Na haujui Jinsia ya mbu wanaoeneza hayo magonjwa.....??? Are you serious?
 
Acha uvivu wa kufikiri basi mkuu, inamaana pia bado haujui thread inazungumzia mbu wa jinsia gani? Na haujui Jinsia ya mbu wanaoeneza hayo magonjwa.....??? Are you serious?
Kwa kuwa umeanza matusi basi ngoja nikuache na elimu uliyonayo, ila jaribu angalao Google tu utaupata ukweli
 
Wenh
Kuna mbu wanaosababisha magonjwa mbalimbali kama vile:-
1. Malaria
2. Zika
3 . mabusha
N.k. sasa wewe unazungumzia mbu wanaosababisha ugonjwa upi?, tuanzie hapo ili tujue jinsi ya kukuelimisha kulingana na upeo wako
Wengine husababisha chingungunya, dengue, matende et cetera
 

habari wana jografia
kuna ukweli wowote hapo??
 
Maajabu ya Mungu, niliiona documentary kuhusu hilo na jamaa alienda na ndoani na kukaa juu ya mti akifanya kama anavua.

Ni ajabu sana yaani mto chini ya bahari
 


kuna maswali mengi yasiyo na majibu kuhusu maisha na ubinadamu Duniani. Kwa mfano, watafiti bado hawajui hasa ni kwanini wanadamu huota ndoto.
Hakuna anayejua hasa kwanini wanadamu hutoa machozi ya kicheko, furaha, huzuni. Kuna aina nyingi za machozi, lakini machozi ya hisia ni ya kipekee kwa binadamu.
Na hata kama muda ni kama sehemu muhimu ya maisha, hakuna mtu anayeweza kuelezea ni lini ulianza au ni lini itakuwa mwisho. Baadhi huamini wakati ni ulitungwa na binadamu, na wengine wanaamini kwamba wakati ulikuwepo muda mrefu kabla ya wanadamu kutunza kumbukumbu yake.
Dunia imekuepo kwa muda mrefu sana. Wanasayansi wamekadiria umri wa dunia kuwa ni miaka bilioni 4.55.
Asilimia 71 ya uso wa dunia imefunikwa na maji, watafiti wanakadiria kuwa ni chini ya 5% ya hiyo imeonekana kwa macho ya binadamu. nyingine bado haijawahi kuonwa na binadamu.
 
Yapo mengi ndg, kwa nini mungu mmoja dini na madhehebu kibao?
 
All qns are tackled by theologists, philo sophist,etc it needs spiritual arguments
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…