Je, wajua? - Special Thread

Kwakweli nimekukubari, mfn, Kagera maji yote ni barid karibia kila kona
 
Mbwa wanachukuliwa kama kitoweo nchini Korea Kusini. Biashara ya nyama ya mbwa inajumuisha mbwa milioni 1, migahawa 6000 na asilimia 10 ya wakazi wanatumia kitoweo hicho.
 
je wajua mshipa wa damu wa nyangumi una upana ambao binadam anaweza akatemea kwa kulala
 
Salaaaale...yn hakuna kojo zuri kama la ndani ya basi...wangekomaje abiria[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Different people have different volume of blood sometimes you will make a knife not a sword..
 
Je wajua kwamba uzito wa sisimizi wote duniani ni sawa na uzito wa watu wote duniani?
 
1.kuna nyota nyingi kuliko mchanga duniani

2.Nchi ya Lesotho watu wake wanaitwa basotho wanaongea lugha ya sesotho
3.Farasi hawezi kuhema kwa mdomo

4.wanaanga hawawezi kulia
(Cry) nje ya dunia kwa sababu ya kani za uvutano zilizopo nje ya dunia
5.Jina la nchi ya Canada limetokana na neno kanada lenye asili ya marekani linalomaanisha kijiji kikubwa
6.asilimia 1% ya matajiri wa marekani,wanamiliki 42% ya uchumi wa nchi hiyo ukilinganisha na 70% ya watu wenye kipato cha kati ambao wanamiliki 7% tu ya uchumi wa nchi hiyo

7.Saudi arabia hubeba ngamia kutoka australia
8.Pombe huua watu wengi zaidi kuliko madawa ya kulevya

9.Twiga anaweza kukaa mda mrefu zaidi bila maji kuliko ngamia

10.uzito wa wadudu wote duniani ni mkubwa kuliko uzito wa binadamu wote

11.Mende ana uwezo wa kuishi siku kumi bila ya kichwa

11.Asali inaweza kukaa miaka 70 bila kuharibika

12.Urusi ni kubwa kuliko sayari ya pluto
 
Ahasante Saaana Mkuu ... Saaana Saana.
 
Mirija midogo midogo iliyopo ndani ya mfuko wa korodani (scrotum) kwa ajili ya kutengeneza sperm au shahawa ikiunganishwa ina urefu sawa na urefu wa uwanja wa mpira ( 100m).
 
Seminal vesicle fluid is alkaline, resulting in human semen having a mildly alkaline pH.The alkalinity of semen helps neutralize the acidity of the vaginal tract prolonging the lifespan of sperm.
 
Seminal vesicle fluid is alkaline, resulting in human semen having a mildly alkaline pH.The alkalinity of semen helps neutralize the acidity of the vaginal tract prolonging the lifespan of sperm.
Nimeelewa mistari ya Mwishoni.. kwamba Simen zipo kulinda Sperm zisishambuliwa na chemical kutoka kwa mwanamke ..
 
Nimeelewa mistari ya Mwishoni.. kwamba Simen zipo kulinda Sperm zisishambuliwa na chemical kutoka kwa mwanamke ..
Yaani Semen zina Alkaline ya kiwango cha chini ambacho husaidia shahawa kubaki bila ya athari zozote zitokanazo na Acidity iliyopo katika kuta za Uke hivyo kurefusha maisha ya shahawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…