Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

Hii hapa siyo sahii.

Mkoa wenye maji mengi hapa Tanzania ni mkoa wa Pwani.

Mkoa wenye maji baridi mengi hapa Tanzania ni mkoa wa Kagera. Kabla Geita haijamegwa kutoka Geita haijamegwa kutoka Mwanza, mkoa wa Mwanza ulikuwa na maji baridi mengi kuliko mikoa yote.

Pwani inaongoza kwa kuwa na maji mengi kwa sababu ya eneo kubwa la bahari lililopo chini yake!!!
Kwakweli nimekukubari, mfn, Kagera maji yote ni barid karibia kila kona
 
Mbwa wanachukuliwa kama kitoweo nchini Korea Kusini. Biashara ya nyama ya mbwa inajumuisha mbwa milioni 1, migahawa 6000 na asilimia 10 ya wakazi wanatumia kitoweo hicho.
 
je wajua mshipa wa damu wa nyangumi una upana ambao binadam anaweza akatemea kwa kulala
 
Salaaaale...yn hakuna kojo zuri kama la ndani ya basi...wangekomaje abiria[emoji23][emoji23][emoji23]
 
258c73d7ad48fe43f7e9b6d2dc5dbb52.jpg
 
Different people have different volume of blood sometimes you will make a knife not a sword..
 
Je wajua kwamba uzito wa sisimizi wote duniani ni sawa na uzito wa watu wote duniani?
 
1.kuna nyota nyingi kuliko mchanga duniani
4b838c6efd0b9d6a17e7ac49b01951d4.jpg

2.Nchi ya Lesotho watu wake wanaitwa basotho wanaongea lugha ya sesotho
5db9d87199ff1f9787edfd8bf0a1b2c0.jpg

3.Farasi hawezi kuhema kwa mdomo
9394b8265356a675da171c8383c8cf43.jpg

4.wanaanga hawawezi kulia
(Cry) nje ya dunia kwa sababu ya kani za uvutano zilizopo nje ya dunia
1b6660e56f3d3514ecaa31c5ed5827ce.jpg

5.Jina la nchi ya Canada limetokana na neno kanada lenye asili ya marekani linalomaanisha kijiji kikubwa
3a2cba04644d65c9181187d74d657be8.jpg

6.asilimia 1% ya matajiri wa marekani,wanamiliki 42% ya uchumi wa nchi hiyo ukilinganisha na 70% ya watu wenye kipato cha kati ambao wanamiliki 7% tu ya uchumi wa nchi hiyo
2085469078e358cee1381e742f4d0810.jpg

7.Saudi arabia hubeba ngamia kutoka australia
ed45997419a9019e384e89abbd01bfdd.jpg

8.Pombe huua watu wengi zaidi kuliko madawa ya kulevya
1cf215d83c2321feeb78ed38bd9c7840.jpg

9.Twiga anaweza kukaa mda mrefu zaidi bila maji kuliko ngamia
d383b92a11ade667d55e40e3c3d0abdf.jpg

10.uzito wa wadudu wote duniani ni mkubwa kuliko uzito wa binadamu wote
5a72cb18a71dede858922c3d15405b4b.jpg

11.Mende ana uwezo wa kuishi siku kumi bila ya kichwa
77875ef77a62e0aaaaebe82fe127bd6b.jpg

11.Asali inaweza kukaa miaka 70 bila kuharibika
38ea150924356a0eaeea7dac555285f2.jpg

12.Urusi ni kubwa kuliko sayari ya pluto
04358b28b4d6020500b201499d7e6691.jpg
 
Ahasante Saaana Mkuu ... Saaana Saana.
 
Mirija midogo midogo iliyopo ndani ya mfuko wa korodani (scrotum) kwa ajili ya kutengeneza sperm au shahawa ikiunganishwa ina urefu sawa na urefu wa uwanja wa mpira ( 100m).
 
Seminal vesicle fluid is alkaline, resulting in human semen having a mildly alkaline pH.The alkalinity of semen helps neutralize the acidity of the vaginal tract prolonging the lifespan of sperm.
 
Seminal vesicle fluid is alkaline, resulting in human semen having a mildly alkaline pH.The alkalinity of semen helps neutralize the acidity of the vaginal tract prolonging the lifespan of sperm.
Nimeelewa mistari ya Mwishoni.. kwamba Simen zipo kulinda Sperm zisishambuliwa na chemical kutoka kwa mwanamke ..
 
Nimeelewa mistari ya Mwishoni.. kwamba Simen zipo kulinda Sperm zisishambuliwa na chemical kutoka kwa mwanamke ..
Yaani Semen zina Alkaline ya kiwango cha chini ambacho husaidia shahawa kubaki bila ya athari zozote zitokanazo na Acidity iliyopo katika kuta za Uke hivyo kurefusha maisha ya shahawa.
 
Back
Top Bottom