1.kuna nyota nyingi kuliko mchanga duniani
2.Nchi ya Lesotho watu wake wanaitwa basotho wanaongea lugha ya sesotho
3.Farasi hawezi kuhema kwa mdomo
4.wanaanga hawawezi kulia
(Cry) nje ya dunia kwa sababu ya kani za uvutano zilizopo nje ya dunia
5.Jina la nchi ya Canada limetokana na neno kanada lenye asili ya marekani linalomaanisha kijiji kikubwa
6.asilimia 1% ya matajiri wa marekani,wanamiliki 42% ya uchumi wa nchi hiyo ukilinganisha na 70% ya watu wenye kipato cha kati ambao wanamiliki 7% tu ya uchumi wa nchi hiyo
7.Saudi arabia hubeba ngamia kutoka australia
8.Pombe huua watu wengi zaidi kuliko madawa ya kulevya
9.Twiga anaweza kukaa mda mrefu zaidi bila maji kuliko ngamia
10.uzito wa wadudu wote duniani ni mkubwa kuliko uzito wa binadamu wote
11.Mende ana uwezo wa kuishi siku kumi bila ya kichwa
11.Asali inaweza kukaa miaka 70 bila kuharibika
12.Urusi ni kubwa kuliko sayari ya pluto