Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Je wajua asali inasafisha macho
Unachotakiwa kufanya nyunyiza tone moja la asali kwa kila jicho, fanya zoezi hili japo kwa wiki mara moja, au kwa mwezi mara moja ikishindikana japo kwa mwaka mara moja.
Ila ukubali vigezo na masharti ingawa siyo magumu ni hivi - inafukuta sana, lakini kwa muda mfupi tu
Kweli mkuu, asilimia mia mojaKweli mkuu? Tusije tukapofuana
Kweli mkuu, asilimia mia moja
Ila iwe asali yenyewe sio za kuchakachua au sijui niseme za kutengeneza
Mbona asali ina faida nyingi sana katika mwili wa binaadamu, nikianza kushuka hapa patakuwa hapatoshi
Tekeleza halafu utakuja niambia, tena kama wewe unaesumbuliwa na macho jitahidi ufanye zoezi hilo japo kila wiki mara mojaBasi ntafanya. Asaa kheri pengine itakua dawa mana macho yangu hayako fresh
Tekeleza halafu utakuja niambia, tena kama wewe unaesumbuliwa na macho jitahidi ufanye zoezi hilo japo kila wiki mara moja
Halafu kama ni mfanyaji wa kazi za usiku nakushauri kila unapoanza usiku mkubwa matahalani kuanzia saa sita(usiku) jitahidi kupata japo gilasi moja ya maji, kila baada ya nusu saa au kila baada ya saa moja hadi kunakucha au niseme hadi muda utakaomaliza kazi zako, inasaidia sana kutosumbuliwa na macho.
Mi nnavojua yaliyochemshwa lkn yapoe kwanza. Ndo yanaganda mara 1
Je wajua moyo wa nyangumi (blue whale) una ukubwa sawa na land rover?
mmmmmmhh ...ngoja niangalie .
Pia mishipa yake ya damu unaweza kuogelea, na akipanua mdomo watu 100 waweza kujipanga?
Hii habari ya blue whale nimeisoma .. lakini sijaona mfanano wa habari kama hiyo ...kama unayo link tuwekee ili tusoma source yako ..
Nliposoma ,wanasema Ubongo wake ni mdogo saana .
Je wajua Rula ya Sentimita 30 ni ndefu kuliko Kindoo kidogo cha maji, kama huamini pima afu lete feedback hapa
Je wajua mtu mzima ana mifupa 206 na mtoto ana jumla ya mifupa 300
Hio mengine hupotelea wapi kadri mtt akiwa mtu mzima?
Je wajua mtu mzima ana mifupa 206 na mtoto ana jumla ya mifupa 300