Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

It takes 17 muscles in your face to smile, but it takes 43 muscles to frown.
 
JE! WAJUA? Kwamba:
1). Taya la chini la meno ndicho kiungo chenye nguvu kuliko viungo vyote katika mwili wa mwanadamu?

2) Mtoto wa binadamu hana kifundo cha goti hadi hapo atumizapo umri wa miaka 2.
 
  • Thanks
Reactions: me1
Je wajua kiumbe hai mkubwa kuriko wote ni blue whale,inakadiliwa uzito wa ulimi wake pekee unazidi uzito wa tembo mkubwa.

JE! WAJUA?
Moyo wa nyangumi una ukubwa sawa na ukubwa wa gari beatle (vokswagen-mgongo wa chura)
 
Je wajua yule msanii nguli wa miondoko ya kufokafoka Curtis Jackson marehemu Mama yake alikuwa muuza madawa ya kulevya
 
Je wajua ccm hawana mgombea urais anayekubalika hadi sasa hivi?
 
Je wajua ukiondoa Equador na Chile barani Amerika kusini Brazil imepakana karibia na nchi zote barani humo
 
Je wajua INTERNET ilikuwa ikiitwa ARPANET(Advanced Research Projects Agency Network)
 
Je wajua leo Barcelona bingwa mpya wa uefa huku messi akihusika na utengenezaji wa magoli ya leo ama kufunga kabisa
 
Je wajua leo Barcelona bingwa mpya wa uefa huku messi akihusika na utengenezaji wa magoli ya leo ama kufunga kabisa


Je wajua kuwa Messi Leo kakosa tena kuchukua kombe huko chile
 
je wajua falcon ni moja ya jina la bus za abiria
 
je wajua baadhi ya jamii ya kabila la wajaluo mwanamke akifiwa na mumewe na ikakosekana ndugu wa kumrithi basi mwanamke huyo haruhusiwi tena kuolewa
na je wajua wakurya na jamii zake ukioa mwanamke kisha mwanamke huyo mkaachana na akaenda kuolewa mji mwingine bas watoto atakaozaa huko mji mwingine wanahesabika ni watoto wako wewe mume wa kwanza mlieachana??
 
je wajua mugabe ndiye rais mwenye shahada nyingi za kisomo kuliko rais yeyote afrika?? ana shahada 7 na 2 kati ya hizo ni shahada za uzamili
 
je wajua kwa nini pikipki aina ya boxer zinapendwa sana katika matukio ya uhalifu?? najua utasema kwa sababu zina balance nzuri na zinaspeed hvo kukata mitaa korofi bila tatizo....okey upo sawa ila kingine usichokijua ni kuwa boxer hazina mitetemesho(vibrations) kwa abiria au dereva mwenyewe hvo dereva ana uwezo wa kuendesha mwendo mrefu bila kuchoshwa mwili na hvo kupelekea kutokamatwa kirahisi
 
Je wajua Ulimi ni kiungo pekee cha mwili kinachopona naraka kuliko kingine chechote
 
Back
Top Bottom