Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmmmmmhh ...ngoja niangalie .
Je wajua?
Ndoto hata iwe mdefu kiasi gani haiwezi kuzidi dakika moja huwa ni wastani wa 38seconds.
Je wajua vitu vifuatavyo haujavichagua katika maisha yako:-
1. Wazazi wako,
2. Jinsia yako,
3. Jina ulilopewa na wazizi wako,
4. Race yako (Yaani kua Mhindi, Mzungu, Mwarabu au Muafrika),
5. Bara, Nchi , Mji au Hospitali au Sehemu Uliozaliwa,
6. Siku ya Kufa.
7. Mtoto utakae Mzaa,
8. Umbile lako, yaani Urefu au Ufupi,
9. Umri utakao ishi Duniani na
10. Maadui zako.
Je wajua mimi ni taahira??????
Na kwa taarifa yako duniani kuna kuku wengi zaidi ya binadamu.
Je wajua bao moja ni sawa na kutembea km 10?
Je wajua alama ya epo linalowwkwa ktk vifaa vya 'apple' ni kwa sababu Alan Turing ambaye alikua shoga na mtaalamu wa computer aliyesaidia millions of people kwenye WWI aliuliwa kwa sumu iliyowekwa ndani ya epo, alipong'ata mara 1 tu akafa. Kampuni ikatumia apple lililong'atwa km kielelezo cha kumkumbuka Alan Turing