Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jee wajua, tembo anapo gegeda akipizi ni kisado kizima cha lita tano..... Ndo ujue sasa
Je, unajua kwamba tangu kuumbwa kwake Ulimwengu(Universe) una umri wa zaidi ya miaka 17 billioni!
Ahsante.Je wajua kuwa ukitaka kujua kama demu ana mtoto au aliwahi kubeba mimba basi mkaribishe kwa chai na mkate, kwa vyovyote vile atakataa na ataomba kitafunwa kingine kama kipo,kama hakipo yyuko radhi kunywa chai kavu kuliko kula mkate, fuatilia
Je wajuua kuwa chadema n chama cha kwanza kutangaza kutoaa elimu bure hadi chuo kikuu ilaa watanzinia wenyewe wakaikataa na kuwaacha wanafunzi weng kukosa mkopo
Je wajua kwa nini watanzania hawataki elimu ya bure? Ni kwa sababu elimu ya bure ni udhaifu.........
Wajua kuwa lugha ya kiarabu inaongoza duniani kwa kuwa na waongeaji wengi ikiwa na idadi ya watu milioni 170 ikifuatiwa na Kiingereza watu milioni 130 na Ufaransa watu milioni 115?.