Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

Je wajua rubani duniani kote hujitambulisha " pilot na kila mtu kumuelewa
 
wajua kwamba binadam ana tako kubwa na dogo? mbapo humsaidia kubalance matendo mf sex, kutembea nk
 
Je wajua kua mwanamke ana titi moja kubwa moja dogo?
 
Je wajua kuwa tz hakuna tume huru ya uchaguzi tz ?
 
Je wajua kuwa tanzania askari police ndo wanaandamana badala ya raia kuandamana
 
Je wajua Zabibu ukizipasha kwenye microwave zinalipuka
 
Je wajua kuwa ukitaka kujua kama demu ana mtoto au aliwahi kubeba mimba basi mkaribishe kwa chai na mkate, kwa vyovyote vile atakataa na ataomba kitafunwa kingine kama kipo,kama hakipo yyuko radhi kunywa chai kavu kuliko kula mkate, fuatilia
Ahsante.

Ngoja niifanyie kazi
 
Je wajuua kuwa chadema n chama cha kwanza kutangaza kutoaa elimu bure hadi chuo kikuu ilaa watanzinia wenyewe wakaikataa na kuwaacha wanafunzi weng kukosa mkopo
 
Je wajuua kuwa chadema n chama cha kwanza kutangaza kutoaa elimu bure hadi chuo kikuu ilaa watanzinia wenyewe wakaikataa na kuwaacha wanafunzi weng kukosa mkopo

Je wajua kwa nini watanzania hawataki elimu ya bure? Ni kwa sababu elimu ya bure ni udhaifu.........
 
je wajua askari wakitanzania walimwagikiwa na maji ya washawasha wakajikuna mpaka wakavua chupi zao
 
hata lameck Airo mbuge wa Rorya,Mathayo david mbuge wa Msoma Mjini wote ni darasa la 7
 
Wajua kuwa lugha ya kiarabu inaongoza duniani kwa kuwa na waongeaji wengi ikiwa na idadi ya watu milioni 170 ikifuatiwa na Kiingereza watu milioni 130 na Ufaransa watu milioni 115?.

Hii ni uongo. Chinese ndio lugha yenye waongeaji wengi duniani. zaidi ya watu billion moja wanaongea Chinese
 
Back
Top Bottom