Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

je wajua kuwa bikira maria mama wa yesu ametajwa mara nyingi zaidi kwenye quran kuliko biblia?

Watasema wa kwenye Quran siyo yeye yule wa kwenye biblia. Watu hawaipendi Quran!!!!
 
Je wajua kwamba kwenye mikono yako kuna 18 na 81 jumla 99 ambayo ndo majina ya mwenyez mungu kwa mujibu wa uislamu.
 
je wajua?

mtu anaweza akapata ndoto nne (4) hadi saba (7) kwa usiku mmoja
 
je wajua sumbawanga ndio mji unaoongoza kwa wachawi africa mashariki takribani kila nyumba ina mchawi mmoja na idadi ya waganga wa kienyeji ni kubwa kuliko mabolozi wa nyumba kumi
 
Sio Tanzania pekee nina uhakika nchi nyingi ulimwenguni ambazo kiingereza sio lugha ya kwanza,zina wasomi wengi wasioweza kuandika,kusoma na kuongea kiingereza.Kama uamini nenda China

Huko sina exprnc...nmeongelea hapa hapa kwa Magufuli ila asante kwa kuniongezea
 
Je wajua kwamba kuna nyota ziko mbali sana kiasi kwamba tangu kuumbwa kwa ulimwengu mpaka leo mwanga wake bado unasafiri kuja duniani haujafika
 
Je wajua kwamba kuna nyota ziko mbali sana kiasi kwamba tangu kuumbwa kwa ulimwengu mpaka leo mwanga wake bado unasafiri kuja duniani haujafika

kuongezea hapa ni kwamba,nyota hizo mwanga wake huwa unatumia muda mrefu kiasi kwamba hadi ufike duniani na sisi tuuone,nyota yake inaweza kuwa ishakufa na kuwa "blackbody"
 
Je wajua mpiganaji masumbwi wa enzi hizo wa kuitwa Sugar Ray aliota kuwa iwapo atambana na mpinzani wake Jimmy Doyle, atamuua ulingoni kitu ambacho Sugar Ray kilimuogopesha mno na kuamua kusitisha kupambana na mpinzani wake Jimmy Doyle.

Jambo ambalo watu wa karibu wa Sugar Ray ikiwemo mchungaji wake, walimshauri Sugar Ray aendelee na pambano ile ni ndoto tu, na si kuwa itatokea kile alichokiota, Sugar Ray baadae aliupokea ushauri na kukubali kuendelea na pambano siku ya tarehe iliopangwa.

Basi huwezi amini siku ya siku(siku ya pambano illipofika) Sugar Ray ilipofika raundi ya sita alipeleka ngumi nzito iliopelekea mpinzani wake Jimmy Doyle kwenda chini(kuanguka) bila kunyanyuka, pamoja na juhudi zote za ziada zilizofanyika kumuwahisha Mwanamasumbwi Jimmy Doyle kuwahishwa Hospitalini hazikusaidia na kusababisha Mwanamasumbwi huyo kupoteza maisha akiwa Hospitalini
 
Je wajua kuwa nyimbo mpya ya diamond ni maalum kwa ajili ya watu wote watakaotumbuliwa majipu huko serikalini!!!!!!!
 
Je wajua kesho ni siku ambayo nitafunga pingu za maisha na kuukataa ukapera?
 
Back
Top Bottom