Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,659
je wajua kuwa bikira maria mama wa yesu ametajwa mara nyingi zaidi kwenye quran kuliko biblia?
Watasema wa kwenye Quran siyo yeye yule wa kwenye biblia. Watu hawaipendi Quran!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
je wajua kuwa bikira maria mama wa yesu ametajwa mara nyingi zaidi kwenye quran kuliko biblia?
Ulimwengu haukuumbwa kwa siku mojabirthday yake tarehe ngapi vile????
Sio Tanzania pekee nina uhakika nchi nyingi ulimwenguni ambazo kiingereza sio lugha ya kwanza,zina wasomi wengi wasioweza kuandika,kusoma na kuongea kiingereza.Kama uamini nenda China
Je? wajua mtu anayeabudiwa lakini ni mbakaji kuwa ni mohamand.
kha nlikua sijui hii!
Je wajua kwamba kuna nyota ziko mbali sana kiasi kwamba tangu kuumbwa kwa ulimwengu mpaka leo mwanga wake bado unasafiri kuja duniani haujafika
Je wajua kwamba kuna nyota ziko mbali sana kiasi kwamba tangu kuumbwa kwa ulimwengu mpaka leo mwanga wake bado unasafiri kuja duniani haujafika
je wajua watu wafupi wana maisha marefu(long life span) kuliko warefu? Sambamba na hilo wafupi hawazeeki haraka kama warefu.
Mkuu hebu tupe detail ili tujueBaba yake Obama hakuwa Mkenya...yule Obama Senior sio baba yake...usiniulize kwa nini sasa!
Naomba kadi mkuu niwakilishe member wa jf pleadeJe wajua kesho ni siku ambayo nitafunga pingu za maisha na kuukataa ukapera?