Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

je wajua mtoto mdogo wa mwezi mmoja ana uwezo wa kupita katka mshipa wa nyangumi tena bila shida???
 
Hii thread ilikuwa nzuri lkn watu wanaichafua kwa ushabiki wao wa kijinga..na pia mtu analeta kitu cha kipuuzi kabisa tena kisicho na mashiko.
UKITAKA KUJUA UWEZO WA MTU KUFIKIRI USIJISUMBUE KUMUULIZAMASWALI MPE TU NAFASI YA YEYE KUULIZA MASWALI
 
Je wajua China ndio nchi ya kwanza Ulimwenguni kuanza kutumia Pesa ya Noti
 
Je wajua 1962 Tanganyika kulizuka ugonjwa wa kucheka ambao ulichukuwa mwaka mzima sehemu nyingi nchini, symptoms zingine zilikuwa ni kulia, kuwashwa na maumivi ya mwili
 
Je wajua ni asilimia 10 tu ya wanadamu dunia hutumia mkono wa kushoto (yaani lefties)?
Je wajua asilimia 10 cyo ndogo? Pia huenda ikawa kweli coz hata me natumia left hand.
 
Last edited:
Je wajua ni asilimia 10 tu ya wanadamu dunia hutumia mkono wa kushoto (yaani lefties)?
Je wajua asilimia 10 cyo ndogo? Pia huenda ikawa kweli coz hata me natumia left hand.
Pamoja sana ndugu
 
Je wajua jangwa la Sahara ni jangwa kubwa Ulimwenguni
 
Back
Top Bottom