STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Kumbe mwanzo ulikuwa unadhani ni kitu gani?Sikua najua,now ndo naelewa why watu huitwa "VICHECHE"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe mwanzo ulikuwa unadhani ni kitu gani?Sikua najua,now ndo naelewa why watu huitwa "VICHECHE"
Unaupenda uwezo wa kicheche au umezipenda tabia zake???duuuh nimewapenda bure
Dar hakuna vichaka..huku kuna mwendo wa pwezaunauwezo wa kicheche? au wewe wa dar? mi natafuta habari kwa vicheche type
kiswahili sanifu MUHUNI ni mtu ambae bado hajaoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeee!
Nilikuwa sijui kwanini wahuni huitwa vicheche...asante.
Dunia ina mengi mkuudah ama kweli jamii forum inavihoja sana nilikua sijui hilo kama ni utafiti uliofanya na wanasayansi ni noma sana
Stress free zonehahahahahahaha
jf ni kila kitu
Huyo wa kwanza na wa tatu sio kicheche huyo anaitwa nyegere na ni maarufu kwa kula asali na wala sio kuku
ngoja nikamsearch Youtube nile burudaniIt is named as polecat in queen's language
Nawaza tu binadamu ndo tungekuwa vicheche original,,,, maama yanguuuuDah kweli Mpwa wewe ni kicheche hahahhahaa asante kwa taarifa nzuri
Vicheche wa dar wanakunywa mchuzi wa pwezawatakuwa wanakula chipsi sidhani kama watafikisha hata 10 kwa siku
Sijui huo uwezo wanakuwa nao mpaka uzeeni?ha ha ha..
kauli mbiu yao nazani ni hapa mpango tu..
lkn nazani nature inahusika hapa maana hawa jamaa wangekuwa wengi kuku tungewalaza kitandani...
poa.siji huko
utakuwa mwanaume wa dar bila shaka.......Daaah huyu kiumbe anatuabisha wanaume, mimi nikipiga goli tatu tu hoi mpaka baada ya wiki moja ndiyo napiga tena
Mkuu mbona wanaume hatuko kama wewe? Au unamatatizo gani mkuu?? CC MziziMkavu njoo umuuzie dawa huyuDaaah huyu kiumbe anatuabisha wanaume, mimi nikipiga goli tatu tu hoi mpaka baada ya wiki moja ndiyo napiga tena
ahahaa kweli mkuu una akili. tatizo vicheche utawapata wapi?Mbunifu atakayeanzisha biashara ya supu ya kicheche atapiga hela sana, Supu ya pweza itakosa soko. nawaza kwa sauti
Clouds 360!!!!Kicheche ni mnyama mdogo sana lakini ana maajabu makubwa. Ana uwezo wa kumdaka kuku wa aina yoyote kwa kutumia mkia wake, lakini cha ajabu zaidi
hawezi kuishi bila kufanya mapenzi, ana uwezo wa kufanya mapenzi mara 26 kwa siku pia ni sawa na kukimbia umbali wa Km 360 kwa siku.
Na ndio maana mtu malaya sana huitwa kicheche.
Najua wajua ila nakujuza zaidi.
duuuh kicheche anadhuru watu?Ndio maana anawivu sana, akimuona mwanaume cha kwanza anarukia korodani......hata majani yakimgusa mkewe anayatafuna..... hataki mkewe apate usumbufu wowote ule.