Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

ha ha ha..
kauli mbiu yao nazani ni hapa mpango tu..
lkn nazani nature inahusika hapa maana hawa jamaa wangekuwa wengi kuku tungewalaza kitandani...
Sijui huo uwezo wanakuwa nao mpaka uzeeni?
 
Ndio maana anawivu sana, akimuona mwanaume cha kwanza anarukia korodani......hata majani yakimgusa mkewe anayatafuna..... hataki mkewe apate usumbufu wowote ule.
 
Kicheche ni mnyama mdogo sana lakini ana maajabu makubwa. Ana uwezo wa kumdaka kuku wa aina yoyote kwa kutumia mkia wake, lakini cha ajabu zaidi
hawezi kuishi bila kufanya mapenzi, ana uwezo wa kufanya mapenzi mara 26 kwa siku pia ni sawa na kukimbia umbali wa Km 360 kwa siku.
Na ndio maana mtu malaya sana huitwa kicheche.


Najua wajua ila nakujuza zaidi.
Clouds 360!!!!
 
Back
Top Bottom