Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

Kama ulikuwa
hufahamu basi acha nikufahamishe, "M-MBU JIKE YEYE
NDIYE ANAYENYONYA DAMU, LAKINI KUMBE M-MBU
DUME, YEYE NI VEGETARIANS, YAANI ANAKULA
NYASI..!!
Kuna mbu wanaosababisha magonjwa mbalimbali kama vile:-
1. Malaria
2. Zika
3 . mabusha
N.k. sasa wewe unazungumzia mbu wanaosababisha ugonjwa upi?, tuanzie hapo ili tujue jinsi ya kukuelimisha kulingana na upeo wako
 
Mkuu Mbu wanaoambukiza magonjwa maranyingi huwa ni mbu wakike, labda ungerudi darasani kidogo
 
Back
Top Bottom