Je, wajua? - Special Thread

Je, wajua? - Special Thread

- Newzeland ndio nchi pekee duniani yenye idadi kubwa ya kondoo zaidi ya idadi ya watu. *Ina zaidi ya kondoo mil. 30 huku idadi ya watu ikiwa ni mil.4.7
- 2520 ndio namba ndogo zaidi inayoweza kugawanyika kabisa kwa namba zote katika mfululizo wa namba kuanzia 1 — 10.

- Mnyama chui anauwezo wa kukaa katika position moja kwa masaa 8

-AFRICAN ELEPHANT:
*Anaweza kula mpaka kilo 500 ya majani kwa siku na kunywa maji mpaka 40 gallons kwa siku.
* Anauwezo wa kutembea haraka zaidi ya binadamu; kwa speed ya 5 - 5½m/hr.
*Mkonge wa tembo mrefu zaidi kuwahi kurekodiwa ulikuwa na urefu wa feet 10 na uzito karibia kilo 250.
 
-Nungunungu ana mbo.o yenye vichwa vi4 na vyote huwa vinapokezana wkt wa kujamiiana(sio kimoja tu kinaenjoy eti teh teh)

-Water boatman(insect/mdudu:Micronesa scholtzi) ana uwezo wa kutengeneza mziki kwa kutumia mbo.o yake(ule mziki kama tunaosikia usiku crickets wakiimba bas huyu ana uwezo wa kuutengeneza kwa kugongesha mbo.o yake tumboni
 
-Bernacle(mdudu wa baharini) ndio kiumbe mwenye mbo.o ndefu kuliko wote duniani. Ana dudu la yuyu lenye urefu karibu mara 40 ya urefu wake....kwa binadamu cjui sie wenye urefu futi6 kasoro tungekua tunavuta mzigo wa futi240( mita 70+) kwenye toroli teh teh
 
Hahaha bangi hizi

Back
Top Bottom