Je, wajua Tanzania inaongoza kwa nguvu za kijeshi Afrika Mashariki na kati?

Umeleta udaku wako hauna mashiko labda utupe source ya habari zako sio mawazo yako
 
Unaongea kwa uzoefu wa nje na si wa ndani, Kwa kifupi tuna vijana wengi wamepata mafunzo mazuri kutoka ktk madepo yetu ila ni ukweli usiofichika hatuna vifaa vya kisasa. Tuna vifaa vya kizamani sana,vilivyopitwa na wakati. Kwa wanaojua hata jeshi la Rwanda liko vizuri kwa kuwa na vifaa vya kisasa kuliko letu. Tumebaki na ufahari na kujivuna kwa mafanikio ya zamani ya jeshi letu ila kiuhalisia Jw hakuna kitu, Yale makelele ya ndege za kichina yasikutishe mkuu,hakuna kitu pale,mig 25 zilishakufa zaman,zimepigwa turubai ktk makambi yetu,hatuna hata ndege za kijeshi za maana kwa sasa.
 
H
Hiyo ndege ya kisasa iliyozinduliwa inaitwaje mkuu.
 
Kama ni kweli mbona wale jamaa wa Kibiti wanatupekelesha??

Acha urongo bana
 

Usiseme kwanguvi invisible wakasikia kule kibiti
 
Kibiti imetuonyesha uhalisia wa nguvu za vyombo vyetu vya ulinzi na usalama
 
Kwa huu utafiti ni ngumu kumeza,, kwani hivyo vigezo vimetumika kwa njia gani hasa,,.
 
Uimara wa Uchumi na Jeshi strong....hivi vitu havina uhusiano wa karibu kweli,?
 
gazeti la the east african la lmay 28 linasema tuna hhelicopteer 2, vifaru 30 na ndege 35. kenya helcopter 62, ndege 132 na vifaru 76. uganda vifaru 220, ndege 47 na helcopter 22.
Hata mm nililiona "for a GT numbers don't lie" ila kwa mpuuzi propaganda ndo anachostahili
 
Story za vijiwe vya kahawa hizi! Enhe! Lete nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…