Je, wajua Tanzania inaongoza kwa nguvu za kijeshi Afrika Mashariki na kati?

Kwa hili labda ndo tutakuwa tunaongoza maana kitu hiki soon kinawekwa kwenye The Guinness

Hivi nyie watu,hilo mmeliona la ajabu sana.Ulishawahi fuatilia upuuzi unaofanywa nchi za wenzetu.
Nashangaa sana mtanzania ambaye huwa anakashfu vitu vizuri vinavyofanyika kuhusu nchi,hii ni sawa na kujikataa wewe mwenyewe na kusifia vya mwenzako,ili hali uwezo unao wa kurekebisha chako kikafanana au hata kuzidi cha mwenzako.
Shida yetu kubwa ni watu wamekosa uzalendo wa kutetea au kupigania nchi yao.Watu wapo tayari na kujisikia fahari kusifia vya nchi zingine kama vile huko kwingine ni peponi na pana kuhusu.
Mleta mada nilichomuelewa anasifia uwezo wa jeshi letu na anajisikia fahari kwa nchi yake kuwa na jeshi lenye uwezo,hata kama anajua au hajui kwa undani utajiri wa jeshi letu, lakini ndiyo jeshi lake,lazima ajivunie.
Sipendi kuamini nyie mnaembeza mleta mada na kudharau uwezo wa jeshi letu kuwa nyie ni wenzetu,inawezekana mkawa ni wa mataifa mengine,maana humu JF kuna wachangiaji na waleta mada toka nchi mbalmbali.
Nitoe Rai kwa watanzania kwamba tuipende nchi yetu,Maana hata hizo nchi zinazosifiwa maendeleo hayakushushwa na mungu kama zawadi bali ni watu wenye nchi husika ambao waliongozwa na roho za uzalendo.Ahsante mungu kwa kuniumba kuwa MTANZANIA.
 
Patamu hapa, tupatie sehem 5 tu tunapowazidi na tunapoweza jivunia
1. uwezo wa kijeshi
2. security & political stability
3. bandari kubwa nyingi
4. eneo kubwa la maji: bahari, mito na maziwa
5. bunge la kisasa
6. uwanja wa kisasa: taifa
7. mbuga na hifadhi za wanyama kwetu ni nyingi
8. madini kwetu ni mengi na mengine dunia nzima hamna: Tanzanite
9. n.k
 
Unajivunia wewe kama nani angekua Riz 1 au jesca sawa we unakuta n maskini wa kutupa afu unajivunia Puuuuumb**** nchi ina wenyewe hii wanakula maisha lazma wajivunie
great thinkers wanajibizana kwa hoja na sio matusi. kwa hiyo wanaoweza kujivunia ni watoto wa marais tu? fikiria vzr
 
Hivi nyie watu,hilo mmeliona la ajabu sana.Ulishawahi fuatilia upuuzi unaofanywa nchi za wenzetu.
Nashangaa sana mtanzania ambaye huwa anakashfu vitu vizuri vinavyofanyika kuhusu nchi,hii ni sawa na kujikataa wewe mwenyewe na kusifia vya mwenzako,ili hali uwezo unao wa kurekebisha chako kikafanana au hata kuzidi cha mwenzako.
Shida yetu kubwa ni watu wamekosa uzalendo wa kutetea au kupigania nchi yao.Watu wapo tayari na kujisikia fahari kusifia vya nchi zingine kama vile huko kwingine ni peponi na pana kuhusu.
Mleta mada nilichomuelewa anasifia uwezo wa jeshi letu na anajisikia fahari kwa nchi yake kuwa na jeshi lenye uwezo,hata kama anajua au hajui kwa undani utajiri wa jeshi letu, lakini ndiyo jeshi lake,lazima ajivunie.
Sipendi kuamini nyie mnaembeza mleta mada na kudharau uwezo wa jeshi letu kuwa nyie ni wenzetu,inawezekana mkawa ni wa mataifa mengine,maana humu JF kuna wachangiaji na waleta mada toka nchi mbalmbali.
Nitoe Rai kwa watanzania kwamba tuipende nchi yetu,Maana hata hizo nchi zinazosifiwa maendeleo hayakushushwa na mungu kama zawadi bali ni watu wenye nchi husika ambao waliongozwa na roho za uzalendo.Ahsante mungu kwa kuniumba kuwa MTANZANIA.
Hapa hakuna cha kujivunia hatuna kabisa mkuu labda ulete vitu vinavyoonekana unishawishi kuwa hapa tumepiga hatua. Tusije tukang'ang'ania huu msamiati wa uzalendo wakati watu hawana furaha ndani ya familia yao na mkuu wa familia anatukana hivyo wanae. Wakati mwingine tunakuwa na baba wa kambo ambae anapora kila kilicho cha familia na kupeleka kwa makahaba huko ughabuni mara atoe urithi wetu watoto kwa kuahidiwa kuachiliwa huru kwa kaka yetu mwivi aliyekamatwa ughaibuni akilandalanda mtaani na vidonge vya mwendokasi. Familia haina kikatiba cha kumbana baba.
Wewe nawe kaka yetu wa 8 katika familia unasema tuna cha kujivunia, kipi hicho hebu kitaje kwa sauti nisikie japokuwa niko mbali napiga kibarau kwa watu nyumbani tumekosa sukari, madawa, maji, n.k
 
Yale magari ya washa washa tutayageuza yatakuwa magari ya zima moto.
Ikifika wakati wa uchaguzi 2020 tunageuza tena yanakuwa washawasha?
Nchi ya viwanda tutaifikia next millenium kwa mawazo kama waziri huyu.
 
Hapa hakuna cha kujivunia hatuna kabisa mkuu labda ulete vitu vinavyoonekana unishawishi kuwa hapa tumepiga hatua. Tusije tukang'ang'ania huu msamiati wa uzalendo wakati watu hawana furaha ndani ya familia yao na mkuu wa familia anatukana hivyo wanae. Wakati mwingine tunakuwa na baba wa kambo ambae anapora kila kilicho cha familia na kupeleka kwa makahaba huko ughabuni mara atoe urithi wetu watoto kwa kuahidiwa kuachiliwa huru kwa kaka yetu mwivi aliyekamatwa ughaibuni akilandalanda mtaani na vidonge vya mwendokasi. Familia haina kikatiba cha kumbana baba.
Wewe nawe kaka yetu wa 8 katika familia unasema tuna cha kujivunia, kipi hicho hebu kitaje kwa sauti nisikie japokuwa niko mbali napiga kibarau kwa watu nyumbani tumekosa sukari, madawa, maji, n.k
Mkuu daraja la nyerere hujaliona nini?
Uwanja wa taifa nao hujauona tu?
Mabasi ya mwendokasi nayo?n.k.....n.k

Alaa huoni vya kujivunia wewe
 
1. uwezo wa kijeshi
2. security & political stability
3. bandari kubwa nyingi
4. eneo kubwa la maji: bahari, mito na maziwa
5. bunge la kisasa
6. uwanja wa kisasa: taifa
7. mbuga na hifadhi za wanyama kwetu ni nyingi
8. madini kwetu ni mengi na mengine dunia nzima hamna: Tanzanite
9. n.k
Umesema vyema mkuu na kweli hivyo vitu tunavyo lakini ukikichambua kimoja kimoja utajikuta tumepigwa bao na baadhi ya majirani zetu, pia havitusaidii chochote wananchi wa kawaida isipokuwa akina wanamfalme kutokana na mfumo mbovu.
Tukianza na:
1. Bandari zipo na ni kubwa na zingeweza kupakua mizigo ya majirani zetu upande wa magharibi na kusini yetu lakini cha ajabu bandari imebaki kuwa kama "mkufu wa dhahabu kwenye shingo ya mbwa" asiyejua thamani yake.
2. Bunge halina maana bila kuwa na wawakilishi wanaotetea matumbo yao badala ya wananchi waliowachagua hivyo uwepo wa jengo lake uliogharimu mabilioni ya jasho la walala ni bure kama mbuge wako uliyempa kura akakutete anasema asieweza kulipa nauli ya kivuko apige mbizi.
3. Madini yanawanufaisha wachache tu waliojimilikisha migodi mizima mizima na hata kuiza kwa foreigners kwa bei ya kutupwa ambapo unakuta taifa linapata ati 5% tu ya mapato ama kweli si vilaza.
4. Mbuga za wanyama labda hakuna maana ya kuwa nazo kama wanyama wetu wanapanda ndege halafu hao unaojivunia na kusema wako vizuri wamelala kwenye mahema.
5. Political stability kama ndo basi Burundi is more stable than us.
 
Well said! I can categorize all what you've listed into

duh! kweli mkuu umedharia kupinga. ukweli haupo kabisa kwako. lakini samahani, wewe ni raia wa nchi gani mkuu?
 
Mkuu daraja la nyerere hujaliona nini?
Uwanja wa taifa nao hujauona tu?
Mabasi ya mwendokasi nayo?n.k.....n.k

Alaa huoni vya kujivunia wewe
Naishi hapa Mji Mwema Kigamboni ukisema sijaliona utakuwa umekosea lakini uwepo wake hauna maana kama ujenzi wake umetumia jasho la wafanyakazi na wananchi wa kawaida kupitia kodi zetu lakini leo hii unalipia kupita na passo yako pale halafu pesa hatujui inatua kwenye mfuko wa nani na inafanyiwa nini kama ukarabati wake utakuta unaambiwa ni msaada kutoka sijui kwa marafiki zetu X kwa hisani ya W. Hii miradi si ya kujivunia mkuu ni vitega uchumi vya wenzako sisi tuendelee kuisoma namba tu wakati wachache wakila mema ya nchi hii yenye kila kitu.
 
duh! kweli mkuu umedharia kupinga. ukweli haupo kabisa kwako. lakini samahani, wewe ni raia wa nchi gani mkuu?
Ni mbongo ila nafikiria kuhama niende mbali niepuke mwendokasi na elimu ya mwendokasi. Aliyepata div. I O-level anaitwa kilaza aliyepata four kipanga na anapeta chuoni na mkopo juu.
 
duh! kweli mkuu umedharia kupinga. ukweli haupo kabisa kwako. lakini samahani, wewe ni raia wa nchi gani mkuu?
Zilipoorodheshwa nchi ambazo raia wake hawana furaha kabisa ya kuishi, ulijisikiaje kuiona Tanzania?
Kama utakuwa mtu kuifikirulia kwa kina utakuwa ulijiuliza kwa nchi yetu iliingia kwenye hiyo list na utakuwa unaelewa sasa kwa nini watu nini hatuoni ....
 
asante kwa data kaka. niongeze hii: hata fighters zinazidiana uwezo. ile iliyozinduliwa Taifa ambayo Afrika nzima tunamiliki sisi na SA inatupa uwezo wa pekee sn. pia ktk hoja ya uzi wangu nimeelezea udhaifu wa jeshi la sasa la Kenya kwa sababu ya vita yao na Al- Shabaab.

Hiyo ndege Vita haina jina ?..
 
Back
Top Bottom