Je, wajua Tanzania inaongoza kwa nguvu za kijeshi Afrika Mashariki na kati?

Je, wajua Tanzania inaongoza kwa nguvu za kijeshi Afrika Mashariki na kati?

pia huwezi sema COMORO haikuwa vita bali useme tuliwazidi sana uwezo ikawa kama tulienda kutalii@Mwandiga
 
a0e3005f53a0dedd2ef06777bec9f49a.jpg

tumetisha kinoma noma 35bora sijaona nchi ingine africa au macho yangu mabovu.....
tunastahili pongezi[emoji123][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
a0e3005f53a0dedd2ef06777bec9f49a.jpg

tumetisha kinoma noma 35bora sijaona nchi ingine africa au macho yangu mabovu.....
tunastahili pongezi[emoji123][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Ahahahahaaa..!!
27. Tanzania

28.germany???

Let me take it for granted
 
Endeleeni kudanganyana tu hapo kwa kujifanya mnajua siri za kijeshi sijui mamlaka ipi inawaruhusu kuanika hayo mambo itabidi MI ianze kazi kwenu mnapata wapi nguvu za kuuza na kuanika hayo mambo.
 
  • Thanks
Reactions: ora
hivi kwanini waTz hatutaki kujisifu japo kidogo!!
tusipojikubali hakuna atakae tukubali
kila kitu chema cha Tanzania nyie kwenu kibaya!
sasa tuna sifa gani..?
wakati meingine mnaboa bwana!!!!
Sio lazima tujisifu tu hata kama uongo...ni kitu gani tumeshindanishwa tukashinda kuanzia kiuchumi,michezo,kielimu nk tukawa tumeshinda au tunaongoza mpaka tuongoze hili sasa...?wabongo tunapenda sifa lakini kila tunapoenda kushindana physically tunashindwa!Kwanini niamini tunaweza kijeshi...nchi yenye nguvu kiuchumi ndio ina nguvu kijeshi duniani...kwanini iwe tofauti hapa kwetu afrika mashariki?after all vita ya sasa hivi ni ya kiteknolojia na sio ya kutafutana kwa miguu..mtu anakupiga kwa clone au kombora akiwa amekaa ofisini anakunywa kahawa,anabonyeza tu kidude.Yule mwenye nguvu ya kiuchumi ya kununua teknolojia ya juu ndie anayeongoza kijeshi...Kenya ndio wanaongoza kielimu,kiuchumi na kijeshi.Usione wanasumbuliwa na alshabaab,ni kwasababu vita ya kigaidi ni ngumu..watu hawavai uniform kama kijeshi.
 
Hivi ni kwann mnapenda kujadili nguvu za kijeshi kwa JWTZ nyie mmekua wasemaji wa jeshi? Na nani anawatuma kutoa data za Armoury ya jeshi na ili iweje? hii thread inarudi tena kwa mara ya pili na yuleyule ndio anaanzisha shida n nini mkuu, mliwahi kujadili kwann msafara wa CDF hauna Escort mkaleta mada tena ya Tanzania ni ya ngapi kijeshi katika majeshi ya Afrika.
 
Kwa Africa Nigeria ni ya Pili baada ya South then Egypt lakini Bokoharam imekuwa tatizo sana, ki ukweli vita sio nzuri ila kwa 78 na 79 tulipata uzoefu mkubwa sana na utaendelea kuwa sifa na msaada mkubwa sana kwetu, UG ilikuwa vizuri kuliko TZ that time but wananchi wa Tanzania wali play a very great role kumwondoa IDD Amin, Uzalendo ni silaha namba moja ya kushinda vita na TZ IPO.
 
Ahahahahaaa..
huwezi kujua kigezo walichotumia. ila najua kwa uwezo vita na silaha Ujerumani wametuzidi. labda hapo wameangalia matok
Endeleeni kudanganyana tu hapo kwa kujifanya mnajua siri za kijeshi sijui mamlaka ipi inawaruhusu kuanika hayo mambo itabidi MI ianze kazi kwenu mnapata wapi nguvu za kuuza na kuanika hayo mambo.
mkuu acha woga usio na tija. penda kusoma uzi vizuri na kufanya kautafiti kidogo juu ya kilichopo uzini. siri ipi imeanikwa kutoka ndani ya JWTZ? nimetaja vitu ambavyo jeshi lenyewe limesema au kuvionyesha. hivi ndugu yangu pale uwanja wa taifa kwa mfano ndege za kivita, vifaru na magari ya kijeshi na maelezo yanatolewa na watu wanasikia wanarekodi kwa audio na video na zimewekwa mitandaoni. hata mapigano ya jeshi la Kenya na Al-Shabaab watu wanaona zana zinazotumika. we bado unasema siri.
 
Hivi ni kwann mnapenda kujadili nguvu za kijeshi kwa JWTZ nyie mmekua wasemaji wa jeshi? Na nani anawatuma kutoa data za Armoury ya jeshi na ili iweje? hii thread inarudi tena kwa mara ya pili na yuleyule ndio anaanzisha shida n nini mkuu, mliwahi kujadili kwann msafara wa CDF hauna Escort mkaleta mada tena ya Tanzania ni ya ngapi kijeshi katika majeshi ya Afrika.
si vizuri kudanganya ndugu. sijawahi kuleta mada yoyote ya JWTZ huko nyuma wala idhu ya CDF. tafadhali rejea hizo nyuzi uone aliyeanzisha, SIO MIMI. hii ni sehemu ya uhuru wa kujieleza mkuu, lolote lawrza kusemwa ila liwe la kweli na lenye tija kwetu. sisi ni Watanzania kwanini tusijivunie chetu kizuri chenye uwexo mkubwa? natambua MI ipo lakini haidili na vitu hivi visivyo na athari kwake.
 
naunga mkono hoja, sababu kuna kipindi ilitoka list ya majeshi yenye nguvu zaid dunian, na kwa afrika nazan ni tz pekee ilingia . nimesema nazan kwakuw nimeipoteza kumbukumbu vizuri, ila kwa maelezo zaid unaweza google.
 
Sio lazima tujisifu tu hata kama uongo...ni kitu gani tumeshindanishwa tukashinda kuanzia kiuchumi,michezo,kielimu nk tukawa tumeshinda au tunaongoza mpaka tuongoze hili sasa...?wabongo tunapenda sifa lakini kila tunapoenda kushindana physically tunashindwa!Kwanini niamini tunaweza kijeshi...nchi yenye nguvu kiuchumi ndio ina nguvu kijeshi duniani...kwanini iwe tofauti hapa kwetu afrika mashariki?after all vita ya sasa hivi ni ya kiteknolojia na sio ya kutafutana kwa mguu..yule mwenye nguvu ya kiuchumi ya kununua teknolojia ya juu ndie anayeongoza kijeshi...Kenya ndio wanaongoza kielimu,kiuchumi na kijeshi..
kweli Kenya wanaongoza ktk elimu, uchumi la KIJESHI ni sisi. mara nyingi lakini sio mara zote nchi inayoongoza kiuchumi itaongoza kijeshi pia kwani inategemeana na gap lililopo kiuchumi pamoja na vipaumbele vya kiuchumi na kijeshi. mfano: kama ingetokea KE na.TZ tuko sawa ktk hali zote kisha tupate msaada pamoja labda wa trillion 5 halafu KE wakaamua kujenga bandari na sisi tukanunua ndege na melivita, KE wataongoza kiuchumi na TZ kijeshi.
 
naunga mkono hoja, sababu kuna kipindi ilitoka list ya majeshi yenye nguvu zaid dunian, na kwa afrika nazan ni tz pekee ilingia . nimesema nazan kwakuw nimeipoteza kumbukumbu vizuri, ila kwa maelezo zaid unaweza google.
asante. nadhan link unayoisema ishawekwa na watu humu. fuatilia comments hapo juu kidogo.
 
kweli Kenya wanaongoza ktk elimu, uchumi la KIJESHI ni sisi. mara nyingi lakini sio mara zote nchi inayoongoza kiuchumi itaongoza kijeshi pia kwani inategemeana na gap lililopo kiuchumi pamoja na vipaumbele vya kiuchumi na kijeshi. mfano: kama ingetokea KE na.TZ tuko sawa ktk hali zote kisha tupate msaada pamoja labda wa trillion 5 halafu KE wakaamua kujenga bandari na sisi tukanunua ndege na melivita, KE wataongoza kiuchumi na TZ kijeshi.
Sijakuelewa unatumia vigezo gani kusema Kenya wanaongoza kiuchumi lakini Tanzania kijeshi..kwanini iwe hivyo?Wakati tunajua duniani marekani anaongoza kiuchumi na kijeshi,china anafatia kiuchumi na kijeshi...sasa kwanini kwa Tanzania na Kenya iwe vice versa?
 
MONUSCO wapo DRC miaka nenda rudi na mda wote huo waasi plus Kagame wamesumbua sana, hadi watz walipotia timu, kilichowakuta wanajua wenyewe, hadi Mzee mwenyewe kama sio kutonywa wanaume walikuwa wanamtilia yimu kule kule, tufanye siasa ila hawa wanaume nyie waacheni.

Monuc au monusco sasa walikuepo ila kazi yao ilikua n Kulinda Amani sio kitu kingine Kagame amesumbua wap naona ushaanza kutoka nje ya reli Tz ilkua haina ushaidi au uwezo wa kumtisha kagame na Tz ilienda kupambana na vibaka kule North Kivu sasa mnasema iko vizuri imeenda kwnye kajimbo hata Morogoro n kubwa afu kaeneo kenyewe ni Masisi kulikua na Majeshi ya south africa Tz na malawi hii leo useme wameenda Vitani,hizi mission sometimes hamjui tu hasa Kongo pale Tz wameenda kuchukua pesa tu za UN hamna lolote pesa Za wakubwa nchi za Ulaya walizochota kongo ndo zinarudi kwenye mission na misaada kwa wakimbizi sisi tumefanya kazi tunaijua system ya UN ikoje.huko tz mnakaloa siasa tu bila evidence
 
Sijakuelewa unatumia vigezo gani kusema Kenya wanaongoza kiuchumi lakini Tanzania kijeshi..kwanini iwe hivyo?Wakati tunajua duniani marekani anaongoza kiuchumi na kijeshi,china anafatia kiuchumi na kijeshi...sasa kwanini kwa Tanzania na Kenya iwe vice versa?
angalia mfano nilioutoa. pia check na hii: Nigeria imeipiku Misri kiuchumi ila kijeshi imezidiwa. Misri iliporomoka sn kiuchumi kwa sanabu ya machafuko ya ndani ya kisiasa. iko mifano mingi. hata ukifuatilia vzr list ya mataifa kumi duniani yanayoongoza kiuchumi yanatofauti japo kidogo ktk kuongoza kijeshi.check mfano mwingine: Israel wako juu sana kijeshi lakini kila mwaka wana fungu la kifedha kutoka USA. fuatilia utajua kwamba sio lazima kila ukiongoza kiuchumi lazima uongoze kijeshi bali inategemea vipaumbele vya taifa. we hujiulizi TZ tunaongoza kwa rasilimali nyingi kuliko KE lakini kiuchumi wametuzidi ila usisahau KIJESHI tuko vzr zaidi yao
 
Kwa taarifa yako hakuna nchi afrika inapokea vifaa na mafunzo ya mabilioni ya dola kwa wingi kutoka marekani kama Misri..hivyo sio ajabu.After all Nigeria imekuwa na uchumi wa kwanza afrika mwaka jana tu..soon wata take over kwasababu wana nguvu ya kiuchumi
 
mafunzo ya namna hiyo huchukua muda mfupi sana pengine wiki moja au mbili. lakini tambua kuwa hatupelekagi wajeda wetu kwa majirani kwa kozi ndefu maana sisi ndo walimu wao. mbona wabishi wafau?
Sisi ni shidaaaahhh
 
Back
Top Bottom