MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,281
- 1,251
- Thread starter
- #121
ktk hoja ipi mkuu. ni vema ungeiquote hoja unayoijibulabda nguvu za giza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ktk hoja ipi mkuu. ni vema ungeiquote hoja unayoijibulabda nguvu za giza
Nguvu za kijeshi za wapi? Wamepigana na taifa gani mpaka wajiite wana nguvu za kijeshi ukanda huu wa maziwa makuu? Vibaka tu wa amboni wamewashindwa
gazeti la the east african la lmay 28 linasema tuna hhelicopteer 2, vifaru 30 na ndege 35. kenya helcopter 62, ndege 132 na vifaru 76. uganda vifaru 220, ndege 47 na helcopter 22.
hiyo isikushangaze mkuu. mbona ndege za nchi nyingi za Afrika hata bongo ni za teknolojia ya zamani sana? ndege za tangu 1970's na 1980's zinatumika vzr hadi sasa. lakini pia inawezekana Waganda walinunua au walipewa nyingine baada ya uhuru. suala la kudungua ndege zao liko wazi mkuu, fuatilia historia ya vita hiyoUongo mwingine bwana, eti ndege za uganda tulizingutingua kwenye vita ya amini, ndege za vita za wakati wa mkoroni miaka 60's zije zitumike miaka ya 78?,huyu mleta mada hayuko series aisee, au anafikiri sisi ni VILAZA hatuwezi kung'amua uongo kama huu?
Vita vya uganda kulikuwa na Mig 21,wakati wa utawala mkoloni miaka 50 na 60 mwanzoni Mig 21 zilikuwepo?,miaka hiyo ya 50 na 60 walikuwa wanatumia ndege za propela na sio za jet engine kama Mig 21,acha kuleta ushabiki wa kibishi kama kwenye mpira kwenye mambo seriuos kama mambo ya kijeshi buanahiyo isikushangaze mkuu. mbona ndege za nchi nyingi za Afrika hata bongo ni za teknolojia ya zamani sana? ndege za tangu 1970's na 1980's zinatumika vzr hadi sasa. lakini pia inawezekana Waganda walinunua au walipewa nyingine baada ya uhuru. suala la kudungua ndege zao liko wazi mkuu, fuatilia historia ya vita hiyo
tz inaongoza kwa nguvu za kijeshi au nguvu za giza?ktk hoja ipi mkuu. ni vema ungeiquote hoja unayoijibu
mkuu mbona hunielewi? cjasema aina gani ya ndege ya UG iliyotunguliwa ila iko wazo JWTZ ilizishsha baadhi ya ndege za UG na LIBYA. mbona unabisha utadhani hazikuwahi kudondoshwa?Vita vya uganda kulikuwa na Mig 21,wakati wa utawala mkoloni miaka 50 na 60 mwanzoni Mig 21 zilikuwepo?,miaka hiyo ya 50 na 60 walikuwa wanatumia ndege za propela na sio za jet engine kama Mig 21,acha kuleta ushabiki wa kibishi kama kwenye mpira kwenye mambo seriuos kama mambo ya kijeshi buana
sina data halisi na nguvu za giza ila najua kuwa JWTZ ni namba one EAST AND CENTRAL AFRICA. nadhani ingekuwa vizuri kuweka data au hoja inayoelekea kwenye ushahidi badala ya maneno makavu.asantetz inaongoza kwa nguvu za kijeshi au nguvu za giza?
Uko kama mhamiaji haramu vile?
MONUSCO wapo DRC miaka nenda rudi na mda wote huo waasi plus Kagame wamesumbua sana, hadi watz walipotia timu, kilichowakuta wanajua wenyewe, hadi Mzee mwenyewe kama sio kutonywa wanaume walikuwa wanamtilia yimu kule kule, tufanye siasa ila hawa wanaume nyie waacheni.Sie tumefanya kazi huko vifaa vilivo vingi vinatolewa na UN nimeona kwa UNAMID( United nations african mission in Darful)
UNMIL(United nation mission in Liberia kama hujui UN hua inaomba wanachama wake wajitolee majesh kwa ajili ya Kulinda amani Kama mna vifaa na mko fiti Why hamkuenda kule Somalia kwenye Amisom (africa Union Mission in Somalia)...???
Au angalia ishu ya Central Africa UN iliomba wajeshi South africa na Rwanda wamejitolea ile misheni ya MISCA-Mission internationale de soutien à la Centrafrique sous conduite africaine.
Kwahiyo kuhusu Jeshi letu kua poa au sio Poa haipimwi kwa misheni Za Kulinda amani.
DRC kule sioni kama walienda Kupambana mana waasi wenyewe wale sijui walikua hata 1000 hawafiki af walikua n kama unapambana na majambazi mana hawako full combat pia kulikua na Jeshi la Monusco ambalo ndo lilisupply lOgistics zote kuanzia vifaa mpka mchoro.
[emoji23]Umekazana kuutetea Uzi wako bila reference yoyote...unayoandika yote unatoa akili mwako...toa reliable source of your info and not otherwise!!! Ni kama unataka uaminiwe kwa kitu ambacho ni vigumu pasipo evidence.
hapo vipi? 35 Most Badass Elite Special Forces From Around The WorldHii Bongo vilaza wengi kabisa. Tena vilaza wa mwendokasi.
mkuu najaribu kuposti linki kwa wabishi wajisomee wenyewe 35 Most Badass Elite Special Forces From Around The WorldMONUSCO wapo DRC miaka nenda rudi na mda wote huo waasi plus Kagame wamesumbua sana, hadi watz walipotia timu, kilichowakuta wanajua wenyewe, hadi Mzee mwenyewe kama sio kutonywa wanaume walikuwa wanamtilia yimu kule kule, tufanye siasa ila hawa wanaume nyie waacheni.
35 Most Badass Elite Special Forces From Around The WorldKiongozi naipenda sana nchi yangu naelewa uwepo wa monduli.. Hata mseveni kama sikosei Kagame mmoja wao alishapata mafunzo yakijeshi hapa kwetu.
Nimeangalia mtandaoni takwimu za mwaka jana zimepingana kabisa na ulicho Sema.
Kiongozi naipenda sana nchi yangu naelewa uwepo wa monduli.. Hata mseveni kama sikosei Kagame mmoja wao alishapata mafunzo yakijeshi hapa kwetu.
Nimeangalia mtandaoni takwimu za mwaka jana zimepingana kabisa na ulicho Sema.
African Military Power
Naomba tusaidiiane hapo maana wanasemaga no prv no right to speak
Mbona hilo liko wazi! Ushirikina kila mahali hadi ndani ya bunge watu wanamwaga unga na sasa ni wenyeviti.labda nguvu za giza
Hahahaha.....mkuu umeua...ingawa Mimi sijui hayo mambo...lakini ....!!! Sawa ingawa sijui kama the source is that much reliable! Ila poa Sana.mkuu najaribu kuposti linki kwa wabishi wajisomee wenyewe 35 Most Badass Elite Special Forces From Around The World
Kamanda wa Kweli unaniangusha bwana......avatar imetulia sanaHahahaha.....mkuu umeua...ingawa Mimi sijui hayo mambo...lakini ....!!! Sawa ingawa sijui kama the source is that much reliable! Ila poa Sana.
asante kwa maoni yako ila tambua:Mkubwa you know nothing about jeshi la Tanzania. Kaa kimya kuficha ujinga wako.
Kwanza huwezi kusemea vita ya mwaka 1979 kuwa inatufanya tuwe na jeshi imara au ndege iliyozinduliwa uwanja wa taifa kuwa ni tz na south africa tu ndio wanazo. Uelewa wako wa mambo ya kijeshi ni mdogo sana zaidi ya sisimizi. Hatavjina la ndege hujui.
Vita ni mbinu sio vifaru unavyosema vipo vingi na magari. Nchi yeyote haiwezi kuweka hadharani silaha zake wala uwezo wake. Kumbuka kongo ni kulinda amani na sio vita. Sijui unaelewa tofauti. Japo kwa bahati mbaya wanajeshi wetu walipoteza maisha. Mungu azilaze roho zao mahali pema.
Commoro haikuwa vita, na hakuna mtu aliyekufa kwa ile kazi. Ndi vita hiyo?
Jeshi lia he lilivyo. Usiwe msemaji wake kwani hujui lolote. Weka akiba ya maneno. Utakosa cha kuongea baadaye