Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,769
- 16,799
Hakunahivi humu kati ya wachangiaji kuna MWANAJESHI????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakunahivi humu kati ya wachangiaji kuna MWANAJESHI????
Unajiongelea mwenyewe au jeshi la nchi gani mkuu?Wewe ndiye uliyelala kuna wanaume huko hawajaupata usingizi wiki ya 6 hii acha mbwembwe masuala ya jeshi wanaoyajua ni wachache sana
Rejea mada inazungumzia niniUnajiongelea mwenyewe au jeshi la nchi gani mkuu?
Nilitegemea utajibu hivi na umefanya hivyo kweli na hapa ndo nazidi kuamini kuwa hata wewe umelala tena usingizi wa pono. Lakini usijali kukicha tutaamka sote na kuona majirani walikofika na hapo ndipo tutakapoenda kwenye makaburi ya waliotufanya tulale na kuyakanya kwa hasira. Wengine watatamani kuzichapa viboko maiti zao.Rejea mada inazungumzia nini
Penda sana kukitamka kile unachokifanya ili tuone jinsi usivyojitambuaNilitegemea utajibu hivi na umefanya hivyo kweli na hapa ndo nazidi kuamini kuwa hata wewe umelala tena usingizi wa pono. Lakini usijali kukicha tutaamka sote na kuona majirani walikofika na hapo ndipo tutakapoenda kwenye makaburi ya waliotufanya tulale na kuyakanya kwa hasira. Wengine watatamani kuzichapa viboko maiti zao.
Mlimshinda Dada Amini sio Uganda kama nchi.mkuu hujui historia ya TZ? tuliwashinda Waganda na Idd Amin Dada. tuna majeshi kulinda amani kama nilivyosema kwenye uzi, au hujausoma wote?
basi haina haja ya kubishana kama hakuna wanajeshiHakuna
kwani kila kinachohusu jeshi lazima kijulikane wanajeshi tu? najua wao wanajua zaidi ila zipo data zinazowezekana kujulikana na wenye interest nazobasi haina haja ya kubishana kama hakuna wanajeshi
tafakari vzr. unawezaje kumtenga kiongozi wa nchi kutoka ktk nchi anayoiongoza? kwani alipoondoka yeye nchi ya UG ilitufanya nini?Mlimshinda Dada Amini sio Uganda kama nchi.
kweli atuepushe kwakuwa pamoja na kwamba wenzetu tumewazidi, tukipigana hata sie tutapata hasara fulani. ndugu kumbuka kuandika Mungu kwa herufi kubwaHatuna lolote mungu atuepushe na vita
ni kweli huwa ni siri, lakini sio kiasi cha kushindwa kufanya ulinganifu kati ya nchi na nchi kwanu kuna vitu vinavyofahamika tu. mfano nikikwambia tuna chuo kikubwa cha kijeshi MONDULI na majirani hawana chuo kama hicho tena wadi madenti kutoka bondeni SA wamo utadema ni siri? haya siri nyingine kubwa iliwekwa hadharani uwanja wa taifa mwaka jana kwenye sherehe za uhuru ndege mpya ya kisasa ambayo Afrika nzima tunamiliki sisi na SA.tu nayo utasema ni siri?
mkuu hujui historia ya TZ? tuliwashinda Waganda na Idd Amin Dada. tuna majeshi kulinda amani kama nilivyosema kwenye uzi, au hujausoma wote?
Ile vita ya kagera tulisaidwa na majeshi mbalimbali wakiwemo waganda wenyewe, sisi peke yetu hatujawahi kupigana peke yetu
Huu ni ukweli mtupuHakuna vita isiyo na usaidizi ,utasaidiwa na marafiki au wenyeji ambao hugeuka na kuwa adui wa nchi yao
hizo takwimu nani kasema ni reliable ziadi? hujui zaweza kutumiwa na watu kwa maslahi yao? fuatilia hoja zangu kisha ipe changamoto hoja moja baada ya nyingine. mf. nimeongelea chuo cha MONDULI na nimesema majirani tunawafunza ujeshi hapo. inawrzekanaje mwanafunzi akamzidi mwl. wake?Kiongozi naipenda sana nchi yangu naelewa uwepo wa monduli.. Hata mseveni kama sikosei Kagame mmoja wao alishapata mafunzo yakijeshi hapa kwetu.
Nimeangalia mtandaoni takwimu za mwaka jana zimepingana kabisa na ulicho Sema.
Kiongozi naipenda sana nchi yangu naelewa uwepo wa monduli.. Hata mseveni kama sikosei Kagame mmoja wao alishapata mafunzo yakijeshi hapa kwetu.
Nimeangalia mtandaoni takwimu za mwaka jana zimepingana kabisa na ulicho Sema.
African Military Power
Naomba tusaidiiane hapo maana wanasemaga no prv no right to speak
yanalinda amani kwa kuangalia tu? yako kamili na vifaa vya kisasa vya kijeshi. tunapoombwa twende ni kwa sababu ya uwezo wetu mkubwa. tumeombwa sehemu nyingi na tuna uwezo. mkuu tafakari hayo usingoje website zikuambie wakati mpaka sasa kila moja ina data zake tofauti. hiyo miwebsite inatumiwa kisiasa nyie fungukeni!Majeshi ya kulinda amani hayaendi kupigana kule jombaa acha saund cheki