Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonekana umelalia upande mmoja bila ya kuisoma historia kamili.mkuu hujui historia ya TZ? tuliwashinda Waganda na Idd Amin Dada. tuna majeshi kulinda amani kama nilivyosema kwenye uzi, au hujausoma wote?
msaada wao ni mdogo kuliko waliopewa Waganda na GaddafiTulisaidiwa na wapigania uhuru wa msumbiji, Zimbabwe, Angola n.k. kwa upande wa Uganda walikuwepo wakina ojoku, museveni n.k.
nguvu hiyo inaiweka nchi ktk hali nzuri ya kujilinda dhidi ya maaduiNguvu hiyo ina manufaa gan kwa usalama wa raia??huon watu wsnakufa kias gani??
data na hoja nilizotoa ni research tosha kwani ni vitu vinavyojulikana wazi. mf. hiyo ndege ambayo tunayo sisi na SA ilionyeshwa live Taifa na chuo cha MONDULI kinapojea hadi waSOUTH AFRICA liko wazi mkuu.Wewe umejuaje, kuna research umefanya au umewaza tu kwa akili yako. Source?
ndugu tambua haya: wanaposema jeshi la Kenya na Uganda wana ndege kiasi hicho wasikutishe. kupima uwezo vita hatuangaalii idadi ya ndege tu bali ndege gani? wanaweza kutuzidi idadi ya ndege kumbe ni za kusafirisha askari wakati za kwetu ni za kurusha makombora(fighters). sisi tunaongoza kwa fighters na ndiyo maana kwenye maonyesho ya ndege vita kwa nchi zote tatu sisi tunaongoza kuonyesha ndege nyingi. fuatilia sherehe za uhuru za kila nchi. check hata GOOGLEgazeti la the east african la lmay 28 linasema tuna hhelicopteer 2, vifaru 30 na ndege 35. kenya helcopter 62, ndege 132 na vifaru 76. uganda vifaru 220, ndege 47 na helcopter 22.
nawe umelalia upande mmoja? mbona huelezi kuwa Waganda walisaidiwa na Libya? kama hofu yavwazungu ni kufa, mbona MAREKANI na ULAYA wako vitani dhidi ya ISIS. hata AFGHANISTAN na IRAQ ni wazunguvwanapigana?Inaonekana umelalia upande mmoja bila ya kuisoma historia kamili.
Kwanza Uganda hawajashindwa (kupigwa) na Tanzania pekee. Ndege za Uganda zimeangushwa na Muingereza pia alisaidia kusema wapi wapo wanajeshi wa Uganda na jwtz kwao ilikuwa rahisi kushambulia.
Pili kumbuka Idd Amini aliwafukuza wahindi na waEurope na waIsrael kwahio ndio wao waliofanikisha mpango mzima.
Tatu Tanzania haitegemewi kwa kulinda amani kwasababu hata jeshi la Uganda lipo Lebanon na Kenya lipo Somali. Jwtz linatumiwa kwasababu wazungu hawataki majeshi wao wafe bora watoe hela mpate kuuwana wenyewe kwa wenyewe.
point yako nzuri. wamesema tuna fighters 14, ke 17 na ug 13. fixed wing attack aircraft tunazo 14, ke 17 na ug 13. za usafirishaji ndiyo nyingi.ndugu tambua haya: wanaposema jeshi la Kenya na Uganda wana ndege kiasi hicho wasikutishe. kupima uwezo vita hatuangaalii idadi ya ndege tu bali ndege gani? wanaweza kutuzidi idadi ya ndege kumbe ni za kusafirisha askari wakati za kwetu ni za kurusha makombora(fighters). sisi tunaongoza kwa fighters na ndiyo maana kwenye maonyesho ya ndege vita kwa nchi zote tatu sisi tunaongoza kuonyesha ndege nyingi. fuatilia sherehe za uhuru za kila nchi. check hata GOOGLE
Mhhhh,,,,,,,,,,,!!!!????Ungesema tunaongoza kwa kuwa na magari mengi ya washawasha ya polisi hapo ningekuelewa
asante kwa data kaka. niongeze hii: hata fighters zinazidiana uwezo. ile iliyozinduliwa Taifa ambayo Afrika nzima tunamiliki sisi na SA inatupa uwezo wa pekee sn. pia ktk hoja ya uzi wangu nimeelezea udhaifu wa jeshi la sasa la Kenya kwa sababu ya vita yao na Al- Shabaab.point yako nzuri. wamesema tuna fighters 14, ke 17 na ug 13. fixed wing attack aircraft tunazo 14, ke 17 na ug 13. za usafirishaji ndiyo nyingi.
Akili za,kuambiwa changanya na zakogazeti la the east african la lmay 28 linasema tuna hhelicopteer 2, vifaru 30 na ndege 35. kenya helcopter 62, ndege 132 na vifaru 76. uganda vifaru 220, ndege 47 na helcopter 22.
[emoji53] [emoji53] hizi sasa dharau.gazeti la the east african la lmay 28 linasema tuna hhelicopteer 2, vifaru 30 na ndege 35. kenya helcopter 62, ndege 132 na vifaru 76. uganda vifaru 220, ndege 47 na helcopter 22.
hapana mimi sina taarifa za kutosha katika hili suala!!!!!!!!!!!!Je, wajua Tanzania inaongoza kwa nguvu za kijeshi Afrika Mashariki na kati?
TehHmm.....sidhani
Nile hiyo link au reference nikaisome mwenyewe.ndugu tambua haya: wanaposema jeshi la Kenya na Uganda wana ndege kiasi hicho wasikutishe. kupima uwezo vita hatuangaalii idadi ya ndege tu bali ndege gani? wanaweza kutuzidi idadi ya ndege kumbe ni za kusafirisha askari wakati za kwetu ni za kurusha makombora(fighters). sisi tunaongoza kwa fighters na ndiyo maana kwenye maonyesho ya ndege vita kwa nchi zote tatu sisi tunaongoza kuonyesha ndege nyingi. fuatilia sherehe za uhuru za kila nchi. check hata GOOGLE