Je, wajua Tanzania inaongoza kwa nguvu za kijeshi Afrika Mashariki na kati?

exaggeration! tunapofanya vibaya tunasema na tulipo vzr tujivunie jamani! wapo wanaotuzidi lakini sio majirani zetu.
Hapana mkuu, kwa upande wa majirani zetu pande zote wote wametupiga bao ila kwa kuwa tuko usingizini na tumefumba macho hatuwezi ona jamaa wakivyotuzidi. Ukweli tuko nyuma sana
 
mkuu toa hoja na mifano. unamaanisha hata Burundi, Malawi wametuzidi? kwa lipi na kivipi?
 
Ngoja itokee vita ya africa mashariki na kati ndipo tutajua
 
Mkuu MTV MBONGO, acha kupiga mayowe .....akili yetu yote sasa tumeielekeza Amboni na kiasi fulani Mwanza, tukimaliza huko ndipo utuletee hizi ngonjera!
siyo ngonjera ni ukweli usiopingika! Meanza na Amboni bado tunakuzoom ila sifa ya JWTZ ijulikane jamani!
 
Ngoja itokee vita ya africa mashariki na kati ndipo tutajua
itategemea pia. kama wakiungana wote dhidi yetu labda watashinda, lakini wakija mmojammoja wameisha. waweza kutoa pia hoja au vigezo kwanini hatuwazidi wengine kijeshi!
 
mkuu toa hoja na mifano. unamaanisha hata Burundi, Malawi wametuzidi? kwa lipi na kivipi?
Malawi imetupiga bao ila Burundi ndo level yetu japokuwa nae keshaanza kuomba njia apite sema tu mbele kuna kontena "DANGER-WIDE ABNORMAL LOAD" (mapigana ya wenyewe kwa wenyewe) angewa keshatupita tayari.
Rwanda wametupita kwa speed ya light na kumpungia mkono dereva wetu byeeeeee, jamaa kabaki anatabasamu!
 
itategemea pia. kama wakiungana wote dhidi yetu labda watashinda, lakini wakija mmojammoja wameisha. waweza kutoa pia hoja au vigezo kwanini hatuwazidi wengine kijeshi!
Hahahaa acha masikhara mzee, yaani tumpige kenya yumemaliza wiki hiyo hiyo aje Uganda! Sisi tumekuwa Russia!?
 
Malawi imetupiga bao ila Burundi ndo level yetu japokuwa nae keshaanza kuomba njia apite sema tu mbele kuna kontena "DANGER-WIDE ABNORMAL LOAD" (mapigana ya wenyewe kwa wenyewe) angewa keshatupita tayari.
Rwanda wametupita kwa speed ya light na kumpungia mkono dereva wetu byeeeeee, jamaa kabaki anatabasamu!
vigezo vyako ni vipi?
1.Malawi walishawahi kutukimbia ktk vita baada ya kuona vifaa vyetu vya hatari. yaani military intelligence yao ilikuwa dhaifu haikuona uwezo wetu mapema.
2. hao majirani tunawafundisha ujeshi nchini hasa MONDULI.
3. fuatilia ziara za majeshi ya nje kutembelea JWTZ kujifunza
kweli usiri mkubwa wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini unasababisha watu wengi kutokujua uwezo wetu. ila ni vzr kwani majirani wanatujua ndiyo maana hawatuanzi, aliyejaribu alikiona IDD AMIN DADA
 
Hahahaa acha masikhara mzee, yaani tumpige kenya yumemaliza wiki hiyo hiyo aje Uganda! Sisi tumekuwa Russia!?
NO! namaanisha yeyote atakayeanza nasi tutamshinda. ila tukifululiza kupigana huenda tukashindwa kwani pigano la kwanza litatufanya tudhoofike kwa adui wa pili
 
vigezo vyako ni vipi?
1.Malawi walishawahi kutukimbia ktk vita baada ya kuona vifaa vyetu vya hatari. yaani military intelligence yao ilikuwa dhaifu haikuona uwezo wetu mapema.
2. hao majirani tunawafundisha ujeshi nchini hasa MONDULI.
3. fuatilia ziara za majeshi ya nje kutembelea JWTZ kujifunza
kweli usiri mkubwa wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini unasababisha watu wengi kutokujua uwezo wetu. ila ni vzr kwani majirani wanatujua ndiyo maana hawatuanzi, aliyejaribu alikiona IDD AMIN DADA

Hivi ukisikia vita unadhani ni vita vya watani wa jadi Simba na Yanga sio? Tuliza kichwa bwn mdogo
 
Vita sio lele mama acheni ushabiki ni mifano hai angalieni vikundi tu kama huko Iraq au Syria pamoja na airpower kushinda vita ni kazi kubwa. Halafu vita vya kizamani hakuna tena watu wanajuwa camp zako ziko wapi silaha ziko wapi wanakuja wana hit targets kwisha kazi ground force na lazima muwe na resource financial power na kwa hapo Tz hakuna. Vita sio silaha tu pesa play big part maana ni very costly. Unaweza kuchukua 30 yrs kuweza ku recover kama vita vya Uganda vilifilisi nchi.
 
hivi humu kati ya wachangiaji kuna MWANAJESHI????
 
gazeti la the east african la lmay 28 linasema tuna hhelicopteer 2, vifaru 30 na ndege 35. kenya helcopter 62, ndege 132 na vifaru 76. uganda vifaru 220, ndege 47 na helcopter 22.
Ndio ujue kuwa hizo data ni za uongo, jiulize kila mwaka helicopter ni mbili tu, Halafu elewa kuwa jeshi la Tanzania lina Siri sana kiasi kwamba kuanika mambo yao hadharani ni mwiko, unaweza ukahisi kuwa hakuna siraha za maana lakini ni kinyume chake.
 
Kumbe gazeti la the East African,wewe kwani hujui kama linatumiwa na nchi x kutoa propaganda. Ebu ww tumia common sense tu,Tz kunakambi ngapi za kijeshi za ardhi na mizinga alafu eti use me kunavifaru 30.Labda data zao za 1970's zitakua
Global Firepower 2016 wao wametoa data kwenye hiyo site. ila wenye site wamesema some ni estimates.
 
M
vigezo vyako ni vipi?
1.Malawi walishawahi kutukimbia ktk vita baada ya kuona vifaa vyetu vya hatari. yaani military intelligence yao ilikuwa dhaifu haikuona uwezo wetu mapema.
2. hao majirani tunawafundisha ujeshi nchini hasa MONDULI.
3. fuatilia ziara za majeshi ya nje kutembelea JWTZ kujifunza
kweli usiri mkubwa wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini unasababisha watu wengi kutokujua uwezo wetu. ila ni vzr kwani majirani wanatujua ndiyo maana hawatuanzi, aliyejaribu alikiona IDD AMIN DADA
Mkuu hiyo namba moja ni stori iliyokuzwa sana na waliojifanya wasemaji wa ile kitu iliyokuwa inapita juu km 200 kutoka kambi moja ya j**** na ft 8000 juu yake.
 
Hapana mkuu, kwa upande wa majirani zetu pande zote wote wametupiga bao ila kwa kuwa tuko usingizini na tumefumba macho hatuwezi ona jamaa wakivyotuzidi. Ukweli tuko nyuma sana
Wewe ndiye uliyelala kuna wanaume huko hawajaupata usingizi wiki ya 6 hii acha mbwembwe masuala ya jeshi wanaoyajua ni wachache sana
 
vigezo vyako ni vipi?
1.Malawi walishawahi kutukimbia ktk vita baada ya kuona vifaa vyetu vya hatari. yaani military intelligence yao ilikuwa dhaifu haikuona uwezo wetu mapema.
2. hao majirani tunawafundisha ujeshi nchini hasa MONDULI.
3. fuatilia ziara za majeshi ya nje kutembelea JWTZ kujifunza
kweli usiri mkubwa wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini unasababisha watu wengi kutokujua uwezo wetu. ila ni vzr kwani majirani wanatujua ndiyo maana hawatuanzi, aliyejaribu alikiona IDD AMIN DADA
Mkuu huwezi kushindana,na waimba taarabu we fanya yako kuna watu wanahamishia ubishi wa kisiasa kwenye mambo ya jeshi
 
Back
Top Bottom