Je, wajua Tanzania inaongoza kwa nguvu za kijeshi Afrika Mashariki na kati?

Je, wajua Tanzania inaongoza kwa nguvu za kijeshi Afrika Mashariki na kati?

We unasema Hivi unauhakika gani??... Sio kwamba Sio mzalendo lakini Kiukweli haya mambo ya kijeshi huwa ni siri Sana Sio kama unavyofikiria
 
Nji iii hakuna inapoongoza maana hata kwenye ishu ya wafanyakazi hewa Uchina imetupiga bao. Kwenye elimu,kijeshi, michezo, uzalishaji Tanzanite ndo tumekuwa mdebwedo kabisa.
nadhani unatania. la sivyo nchi yako huipendi, maana huitendei haki nchi yako
 
We unasema Hivi unauhakika gani??... Sio kwamba Sio mzalendo lakini Kiukweli haya mambo ya kijeshi huwa ni siri Sana Sio kama unavyofikiria
ni kweli huwa ni siri, lakini sio kiasi cha kushindwa kufanya ulinganifu kati ya nchi na nchi kwanu kuna vitu vinavyofahamika tu. mfano nikikwambia tuna chuo kikubwa cha kijeshi MONDULI na majirani hawana chuo kama hicho tena wadi madenti kutoka bondeni SA wamo utadema ni siri? haya siri nyingine kubwa iliwekwa hadharani uwanja wa taifa mwaka jana kwenye sherehe za uhuru ndege mpya ya kisasa ambayo Afrika nzima tunamiliki sisi na SA.tu nayo utasema ni siri?
 
gazeti la the east african la lmay 28 linasema tuna hhelicopteer 2, vifaru 30 na ndege 35. kenya helcopter 62, ndege 132 na vifaru 76. uganda vifaru 220, ndege 47 na helcopter 22.
Kumbe gazeti la the East African,wewe kwani hujui kama linatumiwa na nchi x kutoa propaganda. Ebu ww tumia common sense tu,Tz kunakambi ngapi za kijeshi za ardhi na mizinga alafu eti use me kunavifaru 30.Labda data zao za 1970's zitakua
 
ni kweli huwa ni siri, lakini sio kiasi cha kushindwa kufanya ulinganifu kati ya nchi na nchi kwanu kuna vitu vinavyofahamika tu. mfano nikikwambia tuna chuo kikubwa cha kijeshi MONDULI na majirani hawana chuo kama hicho tena wadi madenti kutoka bondeni SA wamo utadema ni siri? haya siri nyingine kubwa iliwekwa hadharani uwanja wa taifa mwaka jana kwenye sherehe za uhuru ndege mpya ya kisasa ambayo Afrika nzima tunamiliki sisi na SA.tu nayo utasema ni siri?
Ndugu ukiona kitu wameamua nikiweka hadharani ujue hakuna effect sana kwa usalama wa nchi,ila ujue kwamba kunavingine vipo undercover.
 
Wewe kushinda vita enzi za vichupi nao ni ushindi wa kujisifia zama hizi?
hii imetuimarisha kwa uzoefu. lakini kumbuka uzi una hoja na data nyingi kusupport JWTZ ni namba moja kijeshi Afrika Mashariki na kati
 
Mnapenda kweli kujiaminisha mambo kuhusu uwezo wa hicho kijeshi chenu.
ndugu mbona hupendi ukweli? sijafananisha au kulinganisha na SOUTH AFRICA AU NIGERIA AU MISRI ambazo ndio zinaongoza Africa. kwani unadhani JWTZ ndo jeshi dhaifu kuliko yote Africa. jamani, mnyonge mnyongeni, haki uake mpeni!
 
H

Huo ndo ukweli hii nchi hamna kabisa, actually it's a sleepy country ever been in the world
exaggeration! tunapofanya vibaya tunasema na tulipo vzr tujivunie jamani! wapo wanaotuzidi lakini sio majirani zetu.
 
exaggeration! tunapofanya vibaya tunasema na tulipo vzr tujivunie jamani! wapo wanaotuzidi lakini sio majirani zetu.
Hapana mkuu, kwa upande wa majirani zetu pande zote wote wametupiga bao ila kwa kuwa tuko usingizini na tumefumba macho hatuwezi ona jamaa wakivyotuzidi. Ukweli tuko nyuma sana
 
Back
Top Bottom