MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,281
- 1,251
- Thread starter
- #141
pia huwezi sema COMORO haikuwa vita bali useme tuliwazidi sana uwezo ikawa kama tulienda kutalii@Mwandiga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahahaaa..!!![]()
tumetisha kinoma noma 35bora sijaona nchi ingine africa au macho yangu mabovu.....
tunastahili pongezi[emoji123][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Sio lazima tujisifu tu hata kama uongo...ni kitu gani tumeshindanishwa tukashinda kuanzia kiuchumi,michezo,kielimu nk tukawa tumeshinda au tunaongoza mpaka tuongoze hili sasa...?wabongo tunapenda sifa lakini kila tunapoenda kushindana physically tunashindwa!Kwanini niamini tunaweza kijeshi...nchi yenye nguvu kiuchumi ndio ina nguvu kijeshi duniani...kwanini iwe tofauti hapa kwetu afrika mashariki?after all vita ya sasa hivi ni ya kiteknolojia na sio ya kutafutana kwa miguu..mtu anakupiga kwa clone au kombora akiwa amekaa ofisini anakunywa kahawa,anabonyeza tu kidude.Yule mwenye nguvu ya kiuchumi ya kununua teknolojia ya juu ndie anayeongoza kijeshi...Kenya ndio wanaongoza kielimu,kiuchumi na kijeshi.Usione wanasumbuliwa na alshabaab,ni kwasababu vita ya kigaidi ni ngumu..watu hawavai uniform kama kijeshi.hivi kwanini waTz hatutaki kujisifu japo kidogo!!
tusipojikubali hakuna atakae tukubali
kila kitu chema cha Tanzania nyie kwenu kibaya!
sasa tuna sifa gani..?
wakati meingine mnaboa bwana!!!!
Ahahahahaaa..
huwezi kujua kigezo walichotumia. ila najua kwa uwezo vita na silaha Ujerumani wametuzidi. labda hapo wameangalia matok
mkuu acha woga usio na tija. penda kusoma uzi vizuri na kufanya kautafiti kidogo juu ya kilichopo uzini. siri ipi imeanikwa kutoka ndani ya JWTZ? nimetaja vitu ambavyo jeshi lenyewe limesema au kuvionyesha. hivi ndugu yangu pale uwanja wa taifa kwa mfano ndege za kivita, vifaru na magari ya kijeshi na maelezo yanatolewa na watu wanasikia wanarekodi kwa audio na video na zimewekwa mitandaoni. hata mapigano ya jeshi la Kenya na Al-Shabaab watu wanaona zana zinazotumika. we bado unasema siri.Endeleeni kudanganyana tu hapo kwa kujifanya mnajua siri za kijeshi sijui mamlaka ipi inawaruhusu kuanika hayo mambo itabidi MI ianze kazi kwenu mnapata wapi nguvu za kuuza na kuanika hayo mambo.
si vizuri kudanganya ndugu. sijawahi kuleta mada yoyote ya JWTZ huko nyuma wala idhu ya CDF. tafadhali rejea hizo nyuzi uone aliyeanzisha, SIO MIMI. hii ni sehemu ya uhuru wa kujieleza mkuu, lolote lawrza kusemwa ila liwe la kweli na lenye tija kwetu. sisi ni Watanzania kwanini tusijivunie chetu kizuri chenye uwexo mkubwa? natambua MI ipo lakini haidili na vitu hivi visivyo na athari kwake.Hivi ni kwann mnapenda kujadili nguvu za kijeshi kwa JWTZ nyie mmekua wasemaji wa jeshi? Na nani anawatuma kutoa data za Armoury ya jeshi na ili iweje? hii thread inarudi tena kwa mara ya pili na yuleyule ndio anaanzisha shida n nini mkuu, mliwahi kujadili kwann msafara wa CDF hauna Escort mkaleta mada tena ya Tanzania ni ya ngapi kijeshi katika majeshi ya Afrika.
kweli Kenya wanaongoza ktk elimu, uchumi la KIJESHI ni sisi. mara nyingi lakini sio mara zote nchi inayoongoza kiuchumi itaongoza kijeshi pia kwani inategemeana na gap lililopo kiuchumi pamoja na vipaumbele vya kiuchumi na kijeshi. mfano: kama ingetokea KE na.TZ tuko sawa ktk hali zote kisha tupate msaada pamoja labda wa trillion 5 halafu KE wakaamua kujenga bandari na sisi tukanunua ndege na melivita, KE wataongoza kiuchumi na TZ kijeshi.Sio lazima tujisifu tu hata kama uongo...ni kitu gani tumeshindanishwa tukashinda kuanzia kiuchumi,michezo,kielimu nk tukawa tumeshinda au tunaongoza mpaka tuongoze hili sasa...?wabongo tunapenda sifa lakini kila tunapoenda kushindana physically tunashindwa!Kwanini niamini tunaweza kijeshi...nchi yenye nguvu kiuchumi ndio ina nguvu kijeshi duniani...kwanini iwe tofauti hapa kwetu afrika mashariki?after all vita ya sasa hivi ni ya kiteknolojia na sio ya kutafutana kwa mguu..yule mwenye nguvu ya kiuchumi ya kununua teknolojia ya juu ndie anayeongoza kijeshi...Kenya ndio wanaongoza kielimu,kiuchumi na kijeshi..
asante. nadhan link unayoisema ishawekwa na watu humu. fuatilia comments hapo juu kidogo.naunga mkono hoja, sababu kuna kipindi ilitoka list ya majeshi yenye nguvu zaid dunian, na kwa afrika nazan ni tz pekee ilingia . nimesema nazan kwakuw nimeipoteza kumbukumbu vizuri, ila kwa maelezo zaid unaweza google.
Sijakuelewa unatumia vigezo gani kusema Kenya wanaongoza kiuchumi lakini Tanzania kijeshi..kwanini iwe hivyo?Wakati tunajua duniani marekani anaongoza kiuchumi na kijeshi,china anafatia kiuchumi na kijeshi...sasa kwanini kwa Tanzania na Kenya iwe vice versa?kweli Kenya wanaongoza ktk elimu, uchumi la KIJESHI ni sisi. mara nyingi lakini sio mara zote nchi inayoongoza kiuchumi itaongoza kijeshi pia kwani inategemeana na gap lililopo kiuchumi pamoja na vipaumbele vya kiuchumi na kijeshi. mfano: kama ingetokea KE na.TZ tuko sawa ktk hali zote kisha tupate msaada pamoja labda wa trillion 5 halafu KE wakaamua kujenga bandari na sisi tukanunua ndege na melivita, KE wataongoza kiuchumi na TZ kijeshi.
MONUSCO wapo DRC miaka nenda rudi na mda wote huo waasi plus Kagame wamesumbua sana, hadi watz walipotia timu, kilichowakuta wanajua wenyewe, hadi Mzee mwenyewe kama sio kutonywa wanaume walikuwa wanamtilia yimu kule kule, tufanye siasa ila hawa wanaume nyie waacheni.
angalia mfano nilioutoa. pia check na hii: Nigeria imeipiku Misri kiuchumi ila kijeshi imezidiwa. Misri iliporomoka sn kiuchumi kwa sanabu ya machafuko ya ndani ya kisiasa. iko mifano mingi. hata ukifuatilia vzr list ya mataifa kumi duniani yanayoongoza kiuchumi yanatofauti japo kidogo ktk kuongoza kijeshi.check mfano mwingine: Israel wako juu sana kijeshi lakini kila mwaka wana fungu la kifedha kutoka USA. fuatilia utajua kwamba sio lazima kila ukiongoza kiuchumi lazima uongoze kijeshi bali inategemea vipaumbele vya taifa. we hujiulizi TZ tunaongoza kwa rasilimali nyingi kuliko KE lakini kiuchumi wametuzidi ila usisahau KIJESHI tuko vzr zaidi yaoSijakuelewa unatumia vigezo gani kusema Kenya wanaongoza kiuchumi lakini Tanzania kijeshi..kwanini iwe hivyo?Wakati tunajua duniani marekani anaongoza kiuchumi na kijeshi,china anafatia kiuchumi na kijeshi...sasa kwanini kwa Tanzania na Kenya iwe vice versa?
Kwa taarifa yako hakuna nchi afrika inapokea vifaa na mafunzo ya mabilioni ya dola kwa wingi kutoka marekani kama Misri..hivyo sio ajabu.After all Nigeria imekuwa na uchumi wa kwanza afrika mwaka jana tu..soon wata take over kwasababu wana nguvu ya kiuchumiangalia mfano nilioutoa. pia check na hii: Nigeria imeipiku Misri kiuchumi ila kijeshi imezidiwa. Misri iliporomoka sn kiuchumi kwa sanabu ya machafuko ya ndani ya kisiasa. iko mifano mingi. hata ukifuatilia vzr list ya mataifa kumi duniani yanayoongoza kiuchumi yanatofauti japo kidogo ktk kuongoza kijeshi.check mfano mwingine: Israel wako juu sana kijeshi lakini kila mwaka wana fungu la kifedha kutoka USA. fuatilia utajua kwamba sio lazima kila ukiongoza kiuchumi lazima uongoze kijeshi bali inategemea vipaumbele vya taifa. we hujiulizi TZ tunaongoza kwa rasilimali nyingi kuliko KE lakini kiuchumi wametuzidi ila usisahau KIJESHI tuko vzr zaidi yao
Sisi ni shidaaaahhhmafunzo ya namna hiyo huchukua muda mfupi sana pengine wiki moja au mbili. lakini tambua kuwa hatupelekagi wajeda wetu kwa majirani kwa kozi ndefu maana sisi ndo walimu wao. mbona wabishi wafau?
Unajua Maana ya Elite special force lakini.. Hapa tunazungumzia Jeshi kwa ujumla au co?