Je, wajua Tanzania inaongoza kwa nguvu za kijeshi Afrika Mashariki na kati?

Je, wajua Tanzania inaongoza kwa nguvu za kijeshi Afrika Mashariki na kati?

Ile vita ya kagera tulisaidwa na majeshi mbalimbali wakiwemo waganda wenyewe, sisi peke yetu hatujawahi kupigana peke yetu
Hapo ndipo unapojivua nguo wewe mwenyewe na uchi wako watu wauone!!!!!Inaonekana wazi huna uelewa na mada yako hiyo jipange vizuri ili watu wakuelewe.
 
Ni kweli kabisa,ndo maana utekaji wa raia ni jambo la kawaida kwa mujibu wa sirro,na kudaka wapinzani na yeyote anayehitilafiana na ccm,kila pembe ya nchi ! Hapo umenena kesho,magu anakupa ubashite wa mkoa fulani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwingereza alipotawala nchi za Afrika Mashariki aligawa nguvu za kijeshi kama ifuatavyo:

1. TANZANIA ikawa ngome ya jeshi la ardhi na hivyo ikaongoza kuwa na vifaa vingi vya ardhini mf. vifaru, magari mbalimbali ya kivita na mizinga.

2. KENYA ikawa ngome ya jeshi la maji na hivyo ikaongoza kuwa na meli na boti nyingi za kivita.

3. UGANDA ikawa ngome ya jeshi la anga na hivyo ikaongoza kuwa na ndegevita.
ktk vita kati ya TZ na UG tulifanikiwa kutungua ndege nyingi za UG na hivyo wakapungukiwa ndege nyingi.

Kwa kuwa jeshi la ardhi kwa nchi nyingi maskini ndiyo dili kwani vifaa vyake vingi vina unafuu ktk kununua na kuvitunza. Pia Kenya imedhoofika sana na AL-SHAABAB ktk vita wanavyopambana.

Jeshi letu tangu vita vya UGANDA limekuwa na nafasi kubwa ya kujijenga na kujiimarisha kwa msaada wa pekee kutoka CHINA na hata nchi za ULAYA NA MAREKANI na ndiyo maana mwaka jana pale uwanja wa Taifa ilizinduliwa ndege ya kisasa ya kivita ambayo Afrika nzima tunayo TZ na SOUTH AFRICA pekee.

Ndiyo maana tunaombwa sana kulinda amani nje ya nchi kama DARFUR, CONGO DRC na LEBANON.

VIVA JWTZ
Hapo kwenye kulinda amani Darful Rwanda, Burundi na Congo wameanza kulinda miaka mingi sana kabla ya Tanzania, kwahyo kulinda amani sidhani kama kuna kigezo cha jeshi imaara sana. Kumbuka ile ni kazi ya kujitolea.Na kuna wakati Raia wa Rwanda alikuwa mkuu wa vikosi vya Darful sijajua kwa sasa. Nchi husika inaamua. Peace keeping ni kitu cha kawaida mkuu labda ungesema tumeenda wenye mapambano flani tukashinda lakini pia ujue kwenye vita kuna kupigana tafu ukipigana vita usidhani utapigana peke yako au utapigana na nchi moja kila mtu ana supporters wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndipo unapojivua nguo wewe mwenyewe na uchi wako watu wauone!!!!!Inaonekana wazi huna uelewa na mada yako hiyo jipange vizuri ili watu wakuelewe.
Wenye akili kubwa wameelewa, kama wewe ni bashite huo ni upungufu wako
 
uwingi wa zana za
Wakati Kenya wanatoa mamilioni ya dola kununua vifaa vya kijeshi,nyie Tanganyika mnajisifu uwongo tu
kijeshi si ushindi, mbinu na nidhamu ya matumizi ndiyo huleta ushindi
 
Wenye akili kubwa wameelewa, kama wewe ni bashite huo ni upungufu wako
Kama ni Bashite ni wewe maana huwezi kuelezea jambo kubwa kama hili wakati huna uelewa nalo!!!!sana sana utatufanya hata sisi ambao hatukufahamu tuelewe kumbe wewe akili MGANDO.
 
uwingi wa zana za

kijeshi si ushindi, mbinu na nidhamu ya matumizi ndiyo huleta ushindi
Sio kwa dunia ya sasa Mkuu, dunia ya sasa imetawaliwa na teknolojia na wasomi ndani ya Jeshi.
 
mkuu hujui historia ya TZ? tuliwashinda Waganda na Idd Amin Dada. tuna majeshi kulinda amani kama nilivyosema kwenye uzi, au hujausoma wote?

KWELI NCHI YENU TANGANYIKA MNA NGUVU SANA ZA KUIVAMIZA ZANZIBAR NA KUWAIBIA
 
Wakasaidie Kibiti basi!

Kamanda Sirro amesema hawana jinsi ya kufika vichaka vya Kibiti!

Watu huko pembezoni mwa nchi na miji waunde vyama vya ulinzi wao wenyewe.

Didn't he say that?

Basi vyombo vya Usalama kama ni vikali saaaana Afrika Mashariki wakadhibiti Kibiti!
 
Sidhani hata tunauwezo waku fanya technical lay out yakivita tz hii mpk leo tuna makomando wa kuvunja matofari tuombe mungu tusivamiwe tutaaibika vby sana wananchi waoga hivi hii dna hata jwtz wanayo tuombe tusijaribiwe ......
 
Mwingereza alipotawala nchi za Afrika Mashariki aligawa nguvu za kijeshi kama ifuatavyo:

1. TANZANIA ikawa ngome ya jeshi la ardhi na hivyo ikaongoza kuwa na vifaa vingi vya ardhini mf. vifaru, magari mbalimbali ya kivita na mizinga.

2. KENYA ikawa ngome ya jeshi la maji na hivyo ikaongoza kuwa na meli na boti nyingi za kivita.

3. UGANDA ikawa ngome ya jeshi la anga na hivyo ikaongoza kuwa na ndegevita.
ktk vita kati ya TZ na UG tulifanikiwa kutungua ndege nyingi za UG na hivyo wakapungukiwa ndege nyingi.

Kwa kuwa jeshi la ardhi kwa nchi nyingi maskini ndiyo dili kwani vifaa vyake vingi vina unafuu ktk kununua na kuvitunza. Pia Kenya imedhoofika sana na AL-SHAABAB ktk vita wanavyopambana.

Jeshi letu tangu vita vya UGANDA limekuwa na nafasi kubwa ya kujijenga na kujiimarisha kwa msaada wa pekee kutoka CHINA na hata nchi za ULAYA NA MAREKANI na ndiyo maana mwaka jana pale uwanja wa Taifa ilizinduliwa ndege ya kisasa ya kivita ambayo Afrika nzima tunayo TZ na SOUTH AFRICA pekee.

Ndiyo maana tunaombwa sana kulinda amani nje ya nchi kama DARFUR, CONGO DRC na LEBANON.

VIVA JWTZ
kama nguvu za kiGESHI ndo hizi afu wameshindwa kusambaratisha KIBITI basi EA itakuwa ni kituko
 
Back
Top Bottom