Je wajua Thank ya kipa wa Simba Ni zaidi ya mishahara ya wachezaji wote wa Yanga msimu mzima!

Je wajua Thank ya kipa wa Simba Ni zaidi ya mishahara ya wachezaji wote wa Yanga msimu mzima!

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Lile garasha limesajiliwa billion 3. ($1.3 milion).

Mishahara ya wachezaji Yanga Ni bilion 2.7 kwa mwaka (ndio kikosi Bora kwa Sasa Tanzania)

Izo ela za kumleta huyu jamaa katoa mo na kamtuma try again kuleta. Walitaka walete yule mbraziri ikabuma.

Screenshot_20230918-120150.png
 
Tafuta hela kijana uanzishe ama ufadhili team kwa pesa yako, mambo ya usajili /mishahara kwa wachezaji Simba na Yanga waachie wenye hela, ukikosa hela baki kuwa mpuliza vuvuzela jukwaani 😂
Money speaks louder than words
 
Lile garasha limesajiliwa billion 3. ($1.3 milion).

Mishahara ya wachezaji Yanga Ni bilion 2.7 kwa mwaka (ndio kikosi Bora kwa Sasa Tanzania)

Izo ela za kumleta huyu jamaa katoa mo na kamtuma try again kuleta. Walitaka walete yule mbraziri ikabuma.

View attachment 2753268
Bila shaka wewe ni mmoja ya wale mashabiki ambao Rage aliwaita mbumbumbu.
 
Ila Kuna Watu Wana Siri.... Watu mashabiki Wamekwama huko Rwanda hata hamsemi..!

Imenisikitisha Sana....Naomba popote mtakapoliona Daftari La Michango kusaidia Waliokwama Rwanda mnistue nami nichange.

Uadui dakika 90,baada ya hapo sisi ni ndugu!
 
Lile garasha limesajiliwa billion 3. ($1.3 milion).

Mishahara ya wachezaji Yanga Ni bilion 2.7 kwa mwaka (ndio kikosi Bora kwa Sasa Tanzania)

Izo ela za kumleta huyu jamaa katoa mo na kamtuma try again kuleta. Walitaka walete yule mbraziri ikabuma.

View attachment 2753268

Kwanza hizo sio USD

Pili Kuna tofauti kubwa sana Kati ya Transfer Value na transfer fee

Tatu Hamna team yoyote kwa Tanzania yenye uwezo wa kumsajili mchezaji kwa fedha hizo. Fedha yote Huwa inakipwa Baadae Ya taratibu zote kukamilika
 
Ila Kuna Watu Wana Siri.... Watu mashabiki Wamekwama huko Rwanda hata hamsemi..!

Imenisikitisha Sana....Naomba popote mtakapoliona Daftari La Michango kusaidia Waliokwama Rwanda mnistue nami nichange..
Uadui dakika 90,baada ya hapo sisi ni ndugu.!
Nyinyi ndio mnasababisha tuitwe mbumbumbu sasa mtu anakwama vipi Rwanda
 
Kwanza hizo sio USD

Pili Kuna tofauti kubwa sana Kati ya Transfer Value na transfer fee

Tatu Hamna team yoyote kwa Tanzania yenye uwezo wa kumsajili mchezaji kwa fedha hizo. Fedha yote Huwa inakipwa Baadae Ya taratibu zote kukamilika
Acha uongo
 
We kaaga kimya tu. Ulishaharibu credibility yako wakati wa sakata la Fei toto.

Piga kimya tu huna maana tena humu jukwaani tena now.
 
Mmepigwa.

Huyo kipa ni mchoma mkaa Rio di Janeiro vijijini huko Brazili.
Aliisha wahi kuwa mchoma mahindi hapa mjini akakamatwa na mgambo wa jiji akarudishwa kwao.

Hapana Mkuu.
AYOUB Lakred ni Raia wa Morocco

First name
Ayoub
Last name
Lakred
Nationality
Morocco
Date of birth
21 June 1995
Age
28
Country of birth
Morocco
Position
Goalkeeper

Sizani Hata kama Amewahi kufika Brazil Au Rio de Janeiro.

Otherwise ulikuwa unataka Mzaha kwa WAJINGA.

No Research no Right to speach

TUJISAHIHISHE.
 
Kwanza hiyo gharama sio kweli. Ila no aliwatuma akina Jaribu Tena ili ionekane Nayeye kashiriki usajili. Huku wachezaji wakiwa na madai mengi kwa uongozi. Haiwezekani Simba kutumia b 3 kwa mchezaji asiye na faida
Kwanza hizo sio USD

Pili Kuna tofauti kubwa sana Kati ya Transfer Value na transfer fee

Tatu Hamna team yoyote kwa Tanzania yenye uwezo wa kumsajili mchezaji kwa fedha hizo. Fedha yote Huwa inakipwa Baadae Ya taratibu zote kukamilikakwa
 
Ujifunze kuandika vizuri

1. Thank ndio nini?????

KWENYE Kichwa Cha habari Neno thank umelotumia ukitaka kumaanisha nini.?????

2. Garasha ndio nini
Au ulikuwa na LENGO la kumaanisha Garasa?????

3.ela ni Nini maana hatuna hili Neno kwenye kiswahili.

Neno Ela linamaanisha nini?
Au ulitaka kumaanisha Hela
TUMIA Neno Fedha.

CHANZO CHA TAARIFA YAKO NI KIPI???????

JISAHIHISHE.

KUBWA JINGAAAA.
 
Umempiga na kitu kizito!
 
Back
Top Bottom