William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
AahaaaaMmepigwa.
Huyo kipa ni mchoma mkaa Rio di Janeiro vijijini huko Brazili.
Aliisha wahi kuwa mchoma mahindi hapa mjini akakamatwa na mgambo wa jiji akarudishwa kwao.
Money speaks louder than wordsTafuta hela kijana uanzishe ama ufadhili team kwa pesa yako, mambo ya usajili /mishahara kwa wachezaji Simba na Yanga waachie wenye hela, ukikosa hela baki kuwa mpuliza vuvuzela jukwaani 😂
Bila shaka wewe ni mmoja ya wale mashabiki ambao Rage aliwaita mbumbumbu.Lile garasha limesajiliwa billion 3. ($1.3 milion).
Mishahara ya wachezaji Yanga Ni bilion 2.7 kwa mwaka (ndio kikosi Bora kwa Sasa Tanzania)
Izo ela za kumleta huyu jamaa katoa mo na kamtuma try again kuleta. Walitaka walete yule mbraziri ikabuma.
View attachment 2753268
Lile garasha limesajiliwa billion 3. ($1.3 milion).
Mishahara ya wachezaji Yanga Ni bilion 2.7 kwa mwaka (ndio kikosi Bora kwa Sasa Tanzania)
Izo ela za kumleta huyu jamaa katoa mo na kamtuma try again kuleta. Walitaka walete yule mbraziri ikabuma.
View attachment 2753268
Nyinyi ndio mnasababisha tuitwe mbumbumbu sasa mtu anakwama vipi RwandaIla Kuna Watu Wana Siri.... Watu mashabiki Wamekwama huko Rwanda hata hamsemi..!
Imenisikitisha Sana....Naomba popote mtakapoliona Daftari La Michango kusaidia Waliokwama Rwanda mnistue nami nichange..
Uadui dakika 90,baada ya hapo sisi ni ndugu.!
Acha uongoKwanza hizo sio USD
Pili Kuna tofauti kubwa sana Kati ya Transfer Value na transfer fee
Tatu Hamna team yoyote kwa Tanzania yenye uwezo wa kumsajili mchezaji kwa fedha hizo. Fedha yote Huwa inakipwa Baadae Ya taratibu zote kukamilika
Acha uongo
Petrol imekata, Michango haijatosha..!Nyinyi ndio mnasababisha tuitwe mbumbumbu sasa mtu anakwama vipi Rwanda
Mmepigwa.
Huyo kipa ni mchoma mkaa Rio di Janeiro vijijini huko Brazili.
Aliisha wahi kuwa mchoma mahindi hapa mjini akakamatwa na mgambo wa jiji akarudishwa kwao.
Sasa 1€M ni sawa na USD ngapi?Rudi Tena darasani; USD inaandikwa $ na sio hiyo mliyotuletea hapa
Kwanza hizo sio USD
Pili Kuna tofauti kubwa sana Kati ya Transfer Value na transfer fee
Tatu Hamna team yoyote kwa Tanzania yenye uwezo wa kumsajili mchezaji kwa fedha hizo. Fedha yote Huwa inakipwa Baadae Ya taratibu zote kukamilikakwa
Umempiga na kitu kizito!Ujifunze kuandika vizuri
1. Thank ndio nini?????
KWENYE Kichwa Cha habari Neno thank umelotumia ukitaka kumaanisha nini.?????
2. Garasha ndio nini
Au ulikuwa na LENGO la kumaanisha Garasa?????
3.ela ni Nini maana hatuna hili Neno kwenye kiswahili.
Neno Ela linamaanisha nini?
Au ulitaka kumaanisha Hela
TUMIA Neno Fedha.
CHANZO CHA TAARIFA YAKO NI KIPI???????
JISAHIHISHE.
KUBWA JINGAAAA.