Je, wajua ushindi goli Moja shirikisho sawa na Simba kufungwa 5-0 CAF champions?

Lkn kumbuka Yanga huwa inashinda hata ugenini.....
 
Kama mchambuzi mbobevu umesema mimi nani nipinge?

Mchambuzi ni mmoja tu JF, Labani og
 
Je wajua kupigwa goli mbili club bingwa ni sawa na kufungwa mechi moja ya ligi na kufungwa goli tatu Kwa sifuri na tabora united?
 
Lkn kumbuka Yanga huwa inashinda hata ugenini.....
🤣🤣🤣 mkuu soka syo muzk n hualisia wawaz just image unaenda kwa waarabu utegemee ushnde kwa coach n new, alaf ajakaa na team kwanza ndy 2 weeks alaf utegemee kufaulu from nowhere kweny mashndano ya Africa 🤣🤣🤣 labda mwnywe mafuta ya mamposa
 
Nadhani uanaelewa kuwa Yanga ni kiboko ya waarabu....kwao
 
Kula matapisha yako mwenyewe.
Andiko Wana Simba wenzangu..
Povu linaonekana kabisa wewe Uto tena Wali jaa Mchuzi juu...
Uto wengi Wana akili timamu lakini wewe hovyo kabisa.
 
Na kufungwa mbili kwenye Club Bingwa ni Sawa na ngapi za UEFA?
 
Wewe ni msemaji wa yanga usijepasuliwa na makomando wa hersi
 
NB imagine hii kolo fc iliyoshinda. Kwa penalty
Ingekuwa ushindi kwa penati ni haramu basi Argentina wasingekuwa mabingwa wa dunia maana walishinda kwa penati....

🐸🐸🐸 Mnateseka sana mkiona mnyama hapotezi mechi....

Yule jamaa aliyempiga tobo Diarra alifungua magoli mawili ndani ya sekunde tu....

Hahahaaa 🐸🐸 bingwa kwa bahasha na sindano ila CAFCL hakuna sindano wala bahasha huku.

Mchambuzi maandazi katika uzuzu wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…