Je wakati mfalme suleman anaoa wake 700 amri 10 za mungu hazikuwepo?

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
4,701
Reaction score
11,920
Wakuu habari,

Je wakati mfalme suleman anao wake 700 na kuwa na mademu 300, amri za mungu hazikuwepo?

Kwanini anakumbukwa kama mwana wa mungu licha ya kuwa mzinzi?

Je ni ipi tofauti kati ya mfalme suleman na king muswati ? Mwenye wake 100
 
Je ni ipi tofauti kati ya mfalme suleman na king muswati ?
mfalme alikuwa kibolodinda
 
Wakuu habari,

Je wakati mfalme suleman anao wake 700 na kuwa na mademu 300, amri za mungu hazikuwepo?

Kwanini anakumbukwa kama mwana wa mungu licha ya kuwa mzinzi?

Je ni ipi tofauti kati ya mfalme suleman na king muswati ?
Hizo ni hadithi za kusadikika ,wake 700 na michepuko 300 FA MCHEZO? Jumla wanawake 1000 means ukiwa unapiga mmoja kila siku mmpaka uje mkumrudia ni miaka mitatu au kama unapiga daily watatu mpaka uwarudie ni mwaka mzima ,je realistic?
 
Mungu anaejua kila binadamu anazambi ndio mana hukumu zake ni tofauti na binadamu kosa kubwa kwa Mungu kuibudu miungu mingine kwa Suleiman kuoa wake wengi alimwacha tu ila alipoanza kuabudu miungu mingine hapo nipo alipopoteza ufalme wake hata kizazi chache kilifutika katika kuendelea ufalme
 
Hizo ni hadithi za kusadikika ,wake 700 na michepuko 300 FA MCHEZO? Jumla wanawake 1000 means ukiwa unapiga mmoja kila siku mmpaka uje mkumrudia ni miaka mitatu au kama unapiga daily watatu mpaka uwarudie ni mwaka mzima ,je realistic?
Mali alizokuwanazo Suleiman ni nyingi sana Wanawake walikuwa wakimfua wenyewe kutoka nchi mbalimbali
 
Hizo ni hadithi za kusadikika ,wake 700 na michepuko 300 FA MCHEZO? Jumla wanawake 1000 means ukiwa unapiga mmoja kila siku mmpaka uje mkumrudia ni miaka mitatu au kama unapiga daily watatu mpaka uwarudie ni mwaka mzima ,je realistic?
Alikua na nguvu zakutosha, kwa siku ananyadua hata watano,🫣 sio kama nyie wa sasa hivi.😪
 
Wakuu habari,

Je wakati mfalme suleman anao wake 700 na kuwa na mademu 300, amri za mungu hazikuwepo?

Kwanini anakumbukwa kama mwana wa mungu licha ya kuwa mzinzi?

Je ni ipi tofauti kati ya mfalme suleman na king muswati ? Mwenye wake 100
Kwan kuna amri inakataza usioe wake wengi?
 
Huyu kiranga mnampaga kichwa kwenye hamna! Mungu hana muda wakuang'aika na binadamu! Angekuwa anahuo muda kisingesalia kitu kinachoenda kinyume nae
 
Alikua na nguvu zakutosha, kwa siku ananyadua hata watano,🫣 sio kama nyie wa sasa hivi.😪
Kunyandua hakuhusian na nguvu! Acha kujiweka kwenye viatu vya wanaume wakat ww ni K.
Wanaume tunanyandua tukitaka hata 7 kwa siku shida hakuna cha maana kwa wanawake wanafanana.
 
Nguvu ndiyo watano kwa siku? Hata kikawaida watano unawala tu zama hizi.....Sasa ukiwa unakula watano kwa siku means kazi unafanya saa ngapi na kupumzika unapumzika muda gani? Hizo ni story tu za abunuasi.
 
Nasikia mwangwi mwangwi.. say it again Sir. please
 
Nguvu ndiyo watano kwa siku? Hata kikawaida watano unawala tu zama hizi.....Sasa ukiwa unakula watano kwa siku means kazi unafanya saa ngapi na kupumzika unapumzika muda gani? Hizo ni story tu za abunuasi.
Alikua ni His majesty yule. Akiwa amebarikiwa vingi sana hekima, busara na kila kitu.🙂🙂 unajua alipewa zaidi ya alivyoomba. Kwanini asiweze kuwahandle hao 1000. 😥
 
Back
Top Bottom