OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
- Thread starter
- #21
Mimi nimeuliza swali kwa waliosoma biblia yote nahitaji kujuaKwani kuna amri inayokataza mtu kuoa wake wengi?
Sipo interested na mijadala yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nimeuliza swali kwa waliosoma biblia yote nahitaji kujuaKwani kuna amri inayokataza mtu kuoa wake wengi?
Kwa kawaida ukila pisi mbili tu kwa siku ukiona nyingine unaona kama takataka tu.Nasikia mwangwi mwangwi.. say it again Sir. please
My God!😥😥 Kikawaida maanake nini hapa tunamuongelea His majesty Seleman sio nyie mnaotembea na Bahari ya mawazoKwa kawaida ukila pisi mbili tu kwa siku ukiona nyingine unaona kama takataka tu.
Ww endelea na mastory yenu ya vijiwen ungekuwa mwanaume ungeelewa ukisha ejaculate pisi unaiona takataka.My God!😥😥 Kikawaida maanake nini hapa tunamuongelea His majesty Seleman sio nyie mnaotembea na Bahari ya mawazo
Mkuu,Mimi nimeuliza swali kwa waliosoma biblia yote nahitaji kujua
Sipo interested na mijadala yako
Tuzungumze kireality ,sasa ukiomba upige kwa siku wanawake buku means yeye siku yake ni zaidi ya 24hrs? Yeye round moja anaenda kwa muda gani? Na je hao wanawake wanakuwa kwenye foleni hakuna gap ya kuoga na kwenda kwa mwanamke mwingine? Maana ukioga na movement ya kwenda au kumsubiri mwingine aje kama kwa siku anapiga buku naona sio realistic.Alikua ni His majesty yule. Akiwa amebarikiwa vingi sana hekima, busara na kila kitu.🙂🙂 unajua alipewa zaidi ya alivyoomba. Kwanini asiweze kuwahandle hao 1000. 😥
Ahsante sana mkuu,Mkuu,
Mimi nimesoma Biblia pia, pengine vizuri kuliko hao unaowafikiria.
Mimi nyumbani kwetu kote ni kanisani, kwa baba na mama. Kote ni familia za kichungaji.
Jadili hoja, usimjadili mtu.
Amri kumi, za kwenye Biblia, hazijakataza mtu kuoa wake wengi.
Hiyo ndiyo point ambayo umeshindwa kuelewa.
Huo si mjadala wangu. Hizo ni amri kumi za kwenye Biblia.
Umeelewa hoja hiyo?