OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Kwani kuna amri inayokataza mtu kuoa wake wengi?Wakuu habari,
Je wakati mfalme suleman anao wake 700 na kuwa na mademu 300, amri za mungu hazikuwepo?
Kwanini anakumbukwa kama mwana wa mungu licha ya kuwa mzinzi?
Je ni ipi tofauti kati ya mfalme suleman na king muswati ?
mfalme alikuwa kibolodindaWakuu habari,
Je wakati mfalme suleman anao wake 700 na kuwa na mademu 300, amri za mungu hazikuwepo?
Kwanini anakumbukwa kama mwana wa mungu licha ya kuwa mzinzi?
Je ni ipi tofauti kati ya mfalme suleman na king muswati ?
Hizo ni hadithi za kusadikika ,wake 700 na michepuko 300 FA MCHEZO? Jumla wanawake 1000 means ukiwa unapiga mmoja kila siku mmpaka uje mkumrudia ni miaka mitatu au kama unapiga daily watatu mpaka uwarudie ni mwaka mzima ,je realistic?Wakuu habari,
Je wakati mfalme suleman anao wake 700 na kuwa na mademu 300, amri za mungu hazikuwepo?
Kwanini anakumbukwa kama mwana wa mungu licha ya kuwa mzinzi?
Je ni ipi tofauti kati ya mfalme suleman na king muswati ?
Mungu anaejua kila binadamu anazambi ndio mana hukumu zake ni tofauti na binadamu kosa kubwa kwa Mungu kuibudu miungu mingine kwa Suleiman kuoa wake wengi alimwacha tu ila alipoanza kuabudu miungu mingine hapo nipo alipopoteza ufalme wake hata kizazi chache kilifutika katika kuendelea ufalmeWakuu habari,
Je wakati mfalme suleman anao wake 700 na kuwa na mademu 300, amri za mungu hazikuwepo?
Kwanini anakumbukwa kama mwana wa mungu licha ya kuwa mzinzi?
Je ni ipi tofauti kati ya mfalme suleman na king muswati ?
Mali alizokuwanazo Suleiman ni nyingi sana Wanawake walikuwa wakimfua wenyewe kutoka nchi mbalimbaliHizo ni hadithi za kusadikika ,wake 700 na michepuko 300 FA MCHEZO? Jumla wanawake 1000 means ukiwa unapiga mmoja kila siku mmpaka uje mkumrudia ni miaka mitatu au kama unapiga daily watatu mpaka uwarudie ni mwaka mzima ,je realistic?
Alikua na nguvu zakutosha, kwa siku ananyadua hata watano,π«£ sio kama nyie wa sasa hivi.πͺHizo ni hadithi za kusadikika ,wake 700 na michepuko 300 FA MCHEZO? Jumla wanawake 1000 means ukiwa unapiga mmoja kila siku mmpaka uje mkumrudia ni miaka mitatu au kama unapiga daily watatu mpaka uwarudie ni mwaka mzima ,je realistic?
Kwan kuna amri inakataza usioe wake wengi?Wakuu habari,
Je wakati mfalme suleman anao wake 700 na kuwa na mademu 300, amri za mungu hazikuwepo?
Kwanini anakumbukwa kama mwana wa mungu licha ya kuwa mzinzi?
Je ni ipi tofauti kati ya mfalme suleman na king muswati ? Mwenye wake 100
Mimi kwa siku wanne nawezaAlikua na nguvu zakutosha, kwa siku ananyadua hata watano,π«£ sio kama nyie wa sasa hivi.πͺ
,πππ€£π€£Unajua we ni mwanangu sitaki niropoke ujeuri ππππMimi kwa siku wanne naweza
Kunyandua hakuhusian na nguvu! Acha kujiweka kwenye viatu vya wanaume wakat ww ni K.Alikua na nguvu zakutosha, kwa siku ananyadua hata watano,π«£ sio kama nyie wa sasa hivi.πͺ
Alikua na nguvu zakutosha, kwa siku ananyadua hata watano,π«£ sio kama nyie wa sasa hivi.πͺ
Nasikia mwangwi mwangwi.. say it again Sir. pleaseKunyandua hakuhusian na nguvu! Acha kujiweka kwenye viatu vya wanaume wakat ww ni K.
Wanaume tunanyandua tukitaka hata 7 kwa siku shida hakuna cha maana kwa wanawake wanafanana.
π€£ππππππ,πππ€£π€£Unajua we ni mwanangu sitaki niropoke ujeuri ππππ
Alikua ni His majesty yule. Akiwa amebarikiwa vingi sana hekima, busara na kila kitu.ππ unajua alipewa zaidi ya alivyoomba. Kwanini asiweze kuwahandle hao 1000. π₯Nguvu ndiyo watano kwa siku? Hata kikawaida watano unawala tu zama hizi.....Sasa ukiwa unakula watano kwa siku means kazi unafanya saa ngapi na kupumzika unapumzika muda gani? Hizo ni story tu za abunuasi.